Tulia wewe..Mapokeo ya dini ya Katoliki yameifanya kuwa na mambo kadhaa yaliyo kinyume na maandiko ya Biblia. Mfano ni kusali kwa kutumia rozari.
usikute nyie ndio wafuasi wa zumaridiMapokeo ya dini ya Katoliki yameifanya kuwa na mambo kadhaa yaliyo kinyume na maandiko ya Biblia. Mfano ni kusali kwa kutumia rozari.
Ungefanya jambo la maana sana kama ungejibu hoja yangu kuliko kuanza kuleta viroja. Hoja hujibiwa kwa hojausikute nyie ndio wafuasi wa zumaridi
Ambavyo ni dhambi,sivyo?Mapokeo ya dini ya Katoliki yameifanya kuwa na mambo kadhaa yaliyo kinyume na maandiko ya Biblia. Mfano ni kusali kwa kutumia rozari.
Sawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?Tulia wewe..
Mpaka kupalizwa mbinguni!! Hadithi nyingine ukweli upo wazi ila watu wanaamini tu! Ni wakati wa kuhoji , amkeni, hata ufufuko mhoji! Ni kweli?Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume.
Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio character muhimu kwenye kanisa na dini ya Ukristo. Mfano mtume kama Paulo na Petro hawataji kabisa habari za Maria mama wa Yesu katika maandiko yao!
Kwa nini hasa Wakatoliki waliamua kumfanya Maria ndiye kinara wa dini baada ya Yesu na lini hasa Wakatoliki waligundua na kuamua kumfanya Maria kuwa moja ya Character wakuu na muhimu zaidi katika kanisa na dini ya Ukristo wakati ambapo mitume wengine walimpuuza?
Ingawa utabiri wake ulitajwa tangu zamani katika Agano la Kale.Tujitahidi kubukua biblia kwa utulivu.Jitahidi usome angalau ufahamu unachozungumizia. - Maria sio mtume wala kinara wa Kanisa Katoliki pia asingeweza kutajwa kwenye agano la kale maana hakuwepo. Ni kama tukujadili wewe kuanzia mwaka 1864 wakati hukuwepo!
Hapo ulipoandika "siyo muhusika/character muhimu" ni kwa kadiri/mujibu wa mawazo yako na wenzako baadhi.Wao wakatoliki wanampa/walimpa umuhimu wa kipekee sana.Hilo ni kuanzia alivyotabiriwa yeye na uzao wa tumbo lake katika Agano la Kale.Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume.
Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio character muhimu kwenye kanisa na dini ya Ukristo. Mfano mtume kama Paulo na Petro hawataji kabisa habari za Maria mama wa Yesu katika maandiko yao!
Kwa nini hasa Wakatoliki waliamua kumfanya Maria ndiye kinara wa dini baada ya Yesu na lini hasa Wakatoliki waligundua na kuamua kumfanya Maria kuwa moja ya Character wakuu na muhimu zaidi katika kanisa na dini ya Ukristo wakati ambapo mitume wengine walimpuuza?
Tafuta historia ya mwanzo wa kusali rozari kwa Catholics.Ukishindwa fanya ku-google.Sawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?
Kwani mamlaka yanatoka wapi na kwa nani na kwa njia ipi??Sawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?
Ili uamini, unataka uambiwe/ufanyiwe/,uoneshwe kitu gani?Mpaka kupalizwa mbinguni!! Hadithi nyingine ukweli upo wazi ila watu wanaamini tu! Ni wakati wa kuhoji , amkeni, hata ufufuko mhoji! Ni kweli?
Kwahiyo Mungu ana mama...?