Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

Platinum Members ndiyo great thinkers, nao wanamtetea marehemu Maria.🚮
 
Kwenu mama mzaa chema hathaminiwi?
Sijui kwa nini huwa hawataki/hawapendi mama Maria kutambuliwa, kupendwa,kutamkwa na kupewa heshima yake akiwa kama mama wa Yesu!?Wanashindwa kumtambua na kumpenda Maria mama wa Yesu,wakati ukichana au kuzichoma hata picha tu za mama zao wataanzisha vita isiyoisha.
 
Je kwanza zaid ya yesu ha kuzaa tena? Mana nilskia kuna uzao wa yusufu
Inasemekana aliendelea kuzaa na kuwa na familia kama kawaida, japo Wakatoliki hawapendi kabisa kusikia kwamba Maria aliendelea kuishi na Joseph kama mume na mke wakizaa watoto!
 
Rudia kusoma uzi vizuri
 
Sawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?
Hawawezi kukuelewa
Wenzetu maagizo ya kuomba kwa/kupitia jina La Yesu sijui hawayaelewi...
Anyway Mungu atawafungua tu
 
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Kwa nini Mary Magdalene anatokea hata mara nyingi zaidi katika Biblia kuliko Maria mama yake Yesu?

Nan kakuambia hawajapewa heshima yaan mtume na mama wa Yesu unaona nan anarank kubwa hapo
 
Nikupongeze muanzisha mada.
Ume tumia lugha isiyo udhi wala kukashifu dini ya mtu..

Mimi ni mkatoliki..

Ninacho jua ni kuwa hizi heshima kwa Maria hazikuja day one..
Ni process ya miaka na mikaka..
Mfano imani kwamba bikira maria alipalizwa mbinguni kwa mwili na roho ni imani ya juzi hapa mwaka 1950 (Nyerere alikuwa na miaka 28)
So huenda huko mbele mambo yakawa ni zaidi ya leo.

Juzi hapa Papa Leo ame ondoa fundisho kuwa Maria ali shiriki kazi ya ukombozi. Akasema kazi hiyo ni Ya Yesu peke ake.

Lakini ukumbuke kanisa Katoliki lime shiriki ku i shape hii biblia . Kwa kuondoa baadhi ya maneno na kupachika mengine. Rejea Uzi wa zitto junior


So naamini mambo mengi mababa wa kanisa wana jua.. na wana amua yapi sisi tujue. Wakisema kitu tuna wasikiliza wana maandiko mengi
 
Mungu ndio aliyempa Bikira Maria heshima ya juu sio Wakatoliki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…