Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Ukiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu, umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wa mikoani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.Ukiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu,umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wamikowani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!
Fikia lodge au guest house.Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.
Roho mbaya tu mkuuJapokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Wwe ndiyo mgeni sahihii wakupokelewa pale Mbezi kwa Magufuli bus terminal,siyo Kama wale wanaokuja mikono mitupa,tena unamkuta keshafika home kwako,na hapo kapewa address na ndg zako huko Kijijini!!Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.