Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.
Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.
Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?