Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.

Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.

Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
 
CCM hiyo wanakula wenyewe tu minofu yote sisi wanatuachia mifupa. Upendo na roho nzuri zitatoka wapi?
Screenshot_20210208-190814.png
 
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.

Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.

Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?

Maisha duni yaliyoambatana na mazingira yasiyo rafiki. Watu wengi Dar wanaishi Stoo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.

Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.

Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Ukiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu, umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wa mikoani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!
 
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.

Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.

Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?

Sasa mkazi wa Dar anaishi chumba kimoja kama store, anaweka godoro chini, unategemea alete wageni atawaweka wapi?
 
Ukiona umenuniwa ujuwe umekuja Kama zigo tu,umeshindwa kuja hata na Mahindi ya kuchemsha kutoka kwenu Bush lazima utanuniwa tu! Watu wamikowani mjiongoze Dar kila kitu ni pesa siku hizi!!
Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.
 
Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu.

Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu zao wa huko Dar.

Nini hasa sababu ya haya mambo? Maisha magumu? Au mazingira sio rafiki?
Roho mbaya tu mkuu
 
Mimi huwa na kuja na debe mbili za mchele na maharage alafu nakaa siku tatu tu, mbali na hilo muda wote huwa nakuwa busy hvyo huwa sigusi dona lenu,lakini bado hali ni mbaya.
Wwe ndiyo mgeni sahihii wakupokelewa pale Mbezi kwa Magufuli bus terminal,siyo Kama wale wanaokuja mikono mitupa,tena unamkuta keshafika home kwako,na hapo kapewa address na ndg zako huko Kijijini!!
 
Back
Top Bottom