Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Wewe jamaa na mapenzi wapi na wapi, kacheze masebene ya Wcb
Mnyama mkali mwenyewe,admin wa magroup zaidi ya 50 utazani unalipwa.

Ukitaka kujua uzuri wangu kwenye mapenzi nipe dada yako.

Ila usisahau Cheed na Killy wanaachia nyimbo usisahau kupost.
 
kumbe mnapenda kupigwa
 
Wastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.
Playboy ndo jina langu naskia umeniita
 
Naomba kujua maana ya hilo neno "play boy"
Playboy ni neno jarida lililoanzishwa na jamaa anaitwa Hugh Hufner jamaa alikua na mapesa akaw anakaa amezungukwa na mademu wengi.. Hapo ndio lugha ya kingereza ikajiongezea msamiati wake kutokana na jarida la playboy/Lifestyle ya mmiliki wa jarida hilo. Wakimaanisha kwamba playboy ni mtu mwenye wapenzi wengi tena hadumu nao kwa muda mrefu. Nyie waswahili mkawaita Kiwembe au Fataki
 
Sawa Asante nimekupata.

Ngoja Sasa nicomment[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…