Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Wastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.
Mimi niko vizuri kwenye iyo sector [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna mmoja mmoja nimemchakata last week kumbe ana xv yangu for more than eight years anasema nimewahi sikia na wewe umo,God damn
 
Baada ya hapo wanaanza kutafuta Fataki sasa. Mafataki ndio wanaoongoza Kwa Kula mabinti na wanawake siku hizi kwasababu wanawake na mabinti wanapenda miteremko
 
Kwanza play boy Ana swagger....anajua kucheza na hisia za demu,ku mpa attention....pia wanajua ku break the ice....saa wee upo upo Kama uji wa msibani hauna chumvi Wala sukari.

Nitakutafuta Aisee ili nijijue niko Upande gani![emoji39]
 

Sawa kumbe na wewe umooo utawezana[emoji851]
 
A female is always attracted to a sexually active male, that's nature.

Mkuu maneno mafupi ila Yamebeba ujumbe Mzito sanaaa
Sexual active male![emoji116]
Mwanaume mchangamfu,Mwanaume Mfanya Mazoezi,Mwanaume anaevutia mtanashati,Mwenye akili kwa uchache tuu
 
Mkuu maneno mafupi ila Yamebeba ujumbe Mzito sanaaa
Sexual active male![emoji116]
Mwanaume mchangamfu,Mwanaume Mfanya Mazoezi,Mwanaume anaevutia mtanashati,Mwenye akili kwa uchache tuu
Naona unanisema me Mkuu yan sifa zote ninazo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…