Kwanini wakinadada wanawapenda sana play boys kuliko wastaarabu

Una maindi nini wakati wewe ni mwanamme wa Dar tena mla chips mashuhuri. Hivi si ni wewe uliyekuja hapa hivi karibuni ukijisifia kuwa bingwa wa kufakamia michips iliyokaangwa na mafuta ya transfomers, umesahau? Jiulize, mwanamke gani anapenda kuwa na mwanamme bwabwa kama wewe? Nenda kamalizie chips zako na ujilambe vidole.
 
Unatafuta bwana
 
Ukijua wanawake wanapenda nini hasa ujie unakaribia kufa wakipatamwenye kubwawanasema utawatoakizazi akipatamwenye ndogowanamuita anakibamia sasaniambie wanataka size gani hayaeleweki hao
 
There's a fun thing abt them that only we women understands it
 
Mara myingi hii hutokea pale wadada wanaposimuliana kuhusu jamaa fulani, mathalani story zinaweza anzia kuwa jamaa ni mtaalam, ana mashine kubwa, anajua kuitumia mashine yake, jamaa anakula dudu kama anakula mkate wa boflo, jamaa anakufanya, jamaa ni masai ana kifagio asee jamaa anahinga bao moja tu 100k, jamaa anajua kutunza Etc... so mwanamke akisia story kama hiz anataman naye ajaribu ajionee. Akijarb akijionea nae anarud kuwa shuhuda na mwingine anatamani ajarb.

Angalizo.
UKIMWI UPO, CHUKUA TAHADHALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…