Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Umemaliza kila kituWa Congo hawana makuu,wao no burudani na burudani ni wao.
Muziki,soka na bata.
Wale wengine wanatamani hata kukalia kiti Cha Baba,ukiwakaribisha sebuleni wataingia Hadi chumbani.hawafanyi hivyo kwetu TU,wanafanya hivyo Kookote wanapokaribishwa.
Kibaya zaidi wanathaminiana wenyewe kwa wenyewe TU.
HahahahahaWa Congo hawana makuu,wao no burudani na burudani ni wao.
Muziki,soka na bata.
Wale wengine wanatamani hata kukalia kiti Cha Baba,ukiwakaribisha sebuleni wataingia Hadi chumbani.hawafanyi hivyo kwetu TU,wanafanya hivyo Kookote wanapokaribishwa.
Kibaya zaidi wanathaminiana wenyewe kwa wenyewe TU.
Hawana baya, wapewe maua yaoWa Congo hawana makuu,wao no burudani na burudani ni wao.
Muziki,soka na bata.
Wale wengine wanatamani hata kukalia kiti Cha Baba,ukiwakaribisha sebuleni wataingia Hadi chumbani.hawafanyi hivyo kwetu TU,wanafanya hivyo Kookote wanapokaribishwa.
Kibaya zaidi wanathaminiana wenyewe kwa wenyewe TU.
Huu ndiyo UKWELI wenyewe 🙏🏾Wa Congo hawana makuu,wao no burudani na burudani ni wao.
Muziki,soka na bata.
Wale wengine wanatamani hata kukalia kiti Cha Baba,ukiwakaribisha sebuleni wataingia Hadi chumbani.hawafanyi hivyo kwetu TU,wanafanya hivyo Kookote wanapokaribishwa.
Kibaya zaidi wanathaminiana wenyewe kwa wenyewe TU.
Watusi na wahutu walipendwa Sana hapo awali na ndio maana hapa Bongo wengi waliingia Kati kazi nyeti nyingi, na kusomeshwa. Tatizo watusi wengi wali Rudi kwao baada ya PK kuchukua nchi na hii ikatokea Kwa UG pia. Kwa Bahutu wengi wao ni ujambazi ktk mapori ya Kigoma, Shinyanga na Kagera.Toka nikiwa mdogo mpaka sasa, kuna mitazamo juu ya majirani nimeisikia toka enzi na enzi. Sijui hali ya sasa.
1. Mcongo- huyu ni mwanamziki wa bolingo, ukimpa hela ataimba nyimbo za kukusifia kweli kweli
2. Mrundi- Jambazi
3. Mnyarwanda- Shushushu wa Kagame
4. Mganda- kasoma sana huyo, kaja kuchukua kazi.
5. Mkenya - kasoma sana huyo, kaja kuchukua kazi, mkenya akipewa ofisi ndani ya muda mfupi atajaza wakenya kwenye ofisi mpaka mfagiaji atakuwa mkenya tena wa kabila lake tu 🤣.
Kiufupi wakongo hawana baya, wao ni muziki, burudani, mipira, bata. Bana Ba congo bako bien 🤣
Life is today enjoy as long as it lasts congolese are leaving the true purpose of life on earth
Ila ni wakazaji wazuri wa wake zetuHawana baya, wapewe maua yao
No comment mkuu.!!!Umemaliza kila kitu
Mbona mawatumia majini sasa??Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.
Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.
Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija kwetu tunawaangali kijicho cha mbuzi, majirani wa kule kwa Paul Kagame hatuwataki kabisa. Wacongo wananini jamani kwa watanzania