Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Watutsi TZ ndio kikwazo kwao japokua wamejichomeka sehemu nyingi hapa TZ,ila tulichowapatia 95% mpaka leo wanahesabika wakimbizi huko benaco na kigoma iwapo wangeachiwa free toka walipoanza kuja miaka ya 90 wangeshafanya kama wanachokifanya east congo,babu zao na baba zao waliingia kama wakimbizi miaka hiyo sasa hivi wa wanacomplain ni wacongo sababu walizaliwa east congo kibaya zaidi wanataka hilo lijitenge na congo wawe kivyaoWatusi na wahutu walipendwa Sana hapo awali na ndio maana hapa Bongo wengi waliingia Kati kazi nyeti nyingi, na kusomeshwa. Tatizo watusi wengi wali Rudi kwao baada ya PK kuchukua nchi na hii ikatokea Kwa UG pia. Kwa Bahutu wengi wao ni ujambazi ktk mapori ya Kigoma, Shinyanga na Kagera.
Bacongo wenyewe hawa shida na MTU wala nchi ta mutu. Wao Muziki, Mpira,kushona nguo, mambo ya kujiweka Safi kimwili na kimavazi , na starehe zingine.