Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

Uaminifu ni kitu kikubwa sana
Unaweza kuacha kitu kwa mkongo huko kwao hata baada ya miaka 5 ukakikuta
Mbongo unampa kitu anakuambia sukukumbuki wewe nani
Wabongo miaka ileeeee enzi za mwalimu tulikuwa hivyo hata kulikuwa na makabila ambayo wao hata ukilala na hela atakuchunga usiku kucha

Siku hizi mnauwa kwa simu
 
Ujinga na inferiority complex ndo tatizo kubwa la wabongo.

Wabongo wanapenda mtu mjinga na mnyonge kuliko wao. Hawapendi mtu anayewapa changamoto. Wacongo wananuka shida na wanapenda bata ndo maana wabongo wanawapenda. Ukiwa unajielewa na unatumia bongo yako automatically wabongo hawakupendi.

Ukiwa mtanzania una akili timamu, unajielewa na una question vitu unaambiwa wewe sio mtanzania. Utanzania umekua synonymous with ujinga na unyonge.
Best comment
 
Agree. Wakongo hata kwenye mishe za wizi hawapo sana. Mtanzania ni mshenzi sijapata kuona. Miaka ya nyuma nilimrushia mtu sh milioni 6 kwa awamu. Baada ya muda akaja kunikana sijampa. Tukaenda kunakohusika kuomba rekodi, zikaoneka. Akaniomba msamaha eti alipitiwa. Mtu akupe milioni 5 usahau?
 
mtu ananuka shida ila anakula bata na hana baya na mtu.

safi sana huyo ndio mtu
 
Agree. Wakongo hata kwenye mishe za wizi hawapo sana. Mtanzania ni mshenzi sijapata kuona. Miaka ya nyuma nilimrushia mtu sh milioni 6 kwa awamu. Baada ya muda akaja kunikana sijampa. Tukaenda kunakohusika kuomba rekodi, zikaoneka. Akaniomba msamaha eti alipitiwa. Mtu akupe milioni 5 usahau?
Wabongo ni waizi sana mkuu
Asilimia kubwa matapeli tena wa kijinga
Hebu imagine umempa hela zote hizo halafu anakukana daa

Hata uwafunge camera kwenye mikono bado watakana
 
Back
Top Bottom