Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Na yesu pia alitumia tope kumponya kipofu hii si sehemu ya ushirikina
Kwanza mazingira yalikuwa tofauti, pili Muhammad hakuwa na muujiza wowote alioruhusiwa na Allah kufanya, hivyo alifanya shirki, na tatu kile alichofanya na hao viumbe watatu ndio msingi wa hii mashaka!

Ni matumaini yangu kuwa Isa pekee ndo alifanya miujiza kwenye Quran tofauti na Biblia ambapo wengi wa mitume na manabii wamefanya miujiza.
 
Wewe na baba'ako ni watu wawili, nature yenu ni moja, ni sawa?

La, wewe unaweza kuwa ng'ombe na baba'ako akawa binadamu?
Mimi na baba yangu wote tu binadamu je kwa maana hiyo yesu na baba yake wote ni Miungu?
 
Kwa mujibu wako kama mimi na baba yangu wote tu binadamu basi yesu na baba yake wote ni Miungu
Rahisi, Mungu hana wingi, hususani Mungu wa Biblia.
  • Kwakuwa umekaza shingo, nitakurekebisha kwenye uandishi kwanza; Mungu kama nomino ya uungu inaandikwa kwa kuanza na herufi kubwa.
  • Nature ya baba'ako ni binadamu kama wewe, unaweza kukaa naye popote na zaidi unaweza kufanya anayoweza kufanya na anayotaka wewe ufanye, INGAWA anayo mamlaka juu yako, ni mzazi kwako!

Na ukiendelea, wewe na baba'ako, kwakuwa ni watu wawili, mnatokea koo mbili tofauti? Nikisema nyie ni wamoja, nakosea?

Mwisho, Utatu Mtakatifu inaweza na itaendelea kuwa jambo lililo juu ya uelewa wako, hivyo sitakuwa na namna nyingine ya kukuelewesha zaidi ya hayo niyajuayo!

Mimi nimemaliza kuhusu Utatu Mtakatifu, kuna jingine tofauti na hilo?
 
Kwani wewe na baba yako ni binadamu wangapi jumla yenu?
 
Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Naomba pia uniambie kwanini kuna watu wanaamini Mungu ni Mama yaan wanaamini kuna Mungu Mama, na wewe je unaamini Mungu ni Mama?
 
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?

Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.

Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."

Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.

Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)

Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.

Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Mussa hakuwa mkristo
 
Back
Top Bottom