Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwa lugha ya Kiarabu neno Mungu ni illah:
Kwahiyo illah wao yaani mungu wao jina lake ni Allah:

Shahada yao
La illah - hakuna mungu
ila Allah - isipokuwa Allah (jina lake huyo mungu)
Muhamadi Rasuri illah -
Na muhamadi ni mtume wa Mungu:

Waislamu wanakaririshwa tu lugha ya Kiarabu bila kijua maana yake:

Mungu wa Muhamadi
Yaani illah wa Muhamadi anaitwa Allah:
Allah ni jina
illah ni cheo yaani Mungu:
 
Hawakutumia jina tu, mpaka Kaaba, ile inayosemekana kujengwa na Mtume Ibrahimu(sikumbuki vizuri) ilikuwa ni yao sio?

Na muendelezo wa hayo ukawa ndo Muhammad, kuonekana amerogwa kisha kuhakikishiwa na mkewe kuwa yeye ni mtume wa Mungu, ndivyo?
  • Kwamba kurogwa kwake hakukuathiri wahyi aliyoshushiwa, kwakuwa alikuwa akilindwa na Allah.
  • Aliwahi kumlinda swahaba wake kwa kuchora mstari chini mchangani, viumbe watatu wakashindwa kuuvuka kumfikia swahaba, hii si sehemu ya ushirikina?
Mbona hata Yesu alionyesha hasira akitetea utakatifu wa nyumba ya ibada
Yohana 2:13–16
Yesu aliingia hekaluni na kuwakuta watu wakifanya biashara walikuwa wakiuza ng'ombe, kondoo na njiwa na wengine walikuwa wakibadilisha fedha Yesu alitengeneza mjeledi wa kamba akawafukuza wote hekaluni, pamoja na wanyama wao alimwaga sarafu za wabadilishaji pesa na kupindua meza zao Akawaambia wauzaji wa njiwa
"Ondoeni haya hapa! Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko".

fikilia Je kama angeyakuta masanamu ingekuwaje Pitia na haya maandiko ya tukio hilo
Mathayo 21:12–13 na Marko 11:15–17
 
Wajuze waislamu wote hili kuwa Isa na Yesu sio mtu mmoja!

Nilisahau, pia Allah sio Mungu wa Biblia.

Asante sana!
 
Sawa ila nataka niulize tu wakristo wana miungu mingapi?
Mungu mmoja, aliyejidhihirisha katika nafsi tatu. Huo ndio Utatu Mtakatifu. Soma uzi huu kwa ufafanuzi wa kina
 
Mungu mmoja, aliyejidhihirisha katika nafsi tatu. Huo ndio Utatu Mtakatifu. Soma uzi huu kwa ufafanuzi wa kina
Kwa hiyo yule bikra Maria hakuwa na mtoto?
 
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?

Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.

Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."

Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.

Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)

Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.

Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.


MUSSA HAKUWA MKRISTO.
 
Kwa lugha ya Kiarabu neno Mungu ni illah:
Kwahiyo illah wao yaani mungu wao jina lake ni Allah:

Shahada yao
La illah - hakuna mungu
ila Allah - isipokuwa Allah (jina lake huyo mungu)
Muhamadi Rasuri illah -
Na muhamadi ni mtume wa Mungu:

Waislamu wanakaririshwa tu lugha ya Kiarabu bila kijua maana yake:

Mungu wa Muhamadi
Yaani illah wa Muhamadi anaitwa Allah:
Allah ni jina
illah ni cheo yaani Mungu:
Yesu alikuwa dini gani?
 
Mwanaume rijali lazima apende wanawake bikra. Kazi kwenu mnaoambiwa mnakata viuno na kuimba mwanzo mwisho kama Diamond.
Kuna walio ahidiwa wanawake 72 na mito inayotiririsha pombe.Na Kuna walio ahidiwa Ufalme(Kutawala) Mkifika huko sitaku kusikia malalamiko ya mfumo Kristo.Kupanga ni kuchagua.
 
Aliwahi kumlinda swahaba wake kwa kuchora mstari chini mchangani, viumbe watatu wakashindwa kuuvuka kumfikia swahaba, hii si sehemu ya ushirikina?
Na yesu pia alitumia tope kumponya kipofu hii si sehemu ya ushirikina
 
Mbona hata Yesu alionyesha hasira akitetea utakatifu wa nyumba ya ibada
Yohana 2:13–16
Yesu aliingia hekaluni na kuwakuta watu wakifanya biashara walikuwa wakiuza ng'ombe, kondoo na njiwa na wengine walikuwa wakibadilisha fedha Yesu alitengeneza mjeledi wa kamba akawafukuza wote hekaluni, pamoja na wanyama wao alimwaga sarafu za wabadilishaji pesa na kupindua meza zao Akawaambia wauzaji wa njiwa
"Ondoeni haya hapa! Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko".

fikilia Je kama angeyakuta masanamu ingekuwaje Pitia na haya maandiko ya tukio hilo
Mathayo 21:12–13 na Marko 11:15–17
Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom