Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Neno Allah, ni synonymous ya neno Mungu kwa kiswahili, God kwa kingereza, Zumbe kwa kisambaa, Mnungu kwa kizigua na popote linapotumika hilo neno itakuwa either mtumiaji amemaanisha Mungu/Allah/God/Zumbe/Mnungu wa kweli au masanamu au milima ya kwao
Ukisema synonymous unamaanisha Allah na Mungu wana co-exist au una maanisha Allah ndio Mungu? Yaani kama Happy na Joyful?

Hakuna shida, ninachosema mimi ni kuwa, Allah ni cheo kama unavyosema mtume sio? Yaani kama miungu ni gods, nawezaje kutofautisha miungu na Mungu? Kama ulivyosema, wapagani walisema Manaat ni mungu pia...

Wakristo, wanasema Mungu wao anayo majina pia yaliyotajwa na Biblia.

Allah katajwa kwa attributes zake, majina 99 n.k

Namaliza kwa kujaribu kusema, kama mambo yako hivi na kwa mujibu wa Al mukheef pia, Allah ni mungu ila si Mungu wa biblia.
 
Yesu hapo anaingia au yeye haingii
Amezaliwa na Mariam, kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Mwana wa Mungu, mwenye umungu mmoja sawa na baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa kupitia yeye. Atarudi tena kuwahukumu wazima na wafu, nao ufalme wake hauna mwisho.

Amekaa kuume kwa baba pamoja naye.
 
Bila shaka umeelewa ila wataka tuendelee sawa

Jibu ni kuwa neno Mungu linatamkwa tofauti kulingana na lugha mf.

Mungu--kiswahili
God-- Kingereza
Allah--Kiarabu
Mnungu--kizigua
Zumbe--kisambaa

Katika matamshi ya hizo lugha yote hutegemea huyo atakaetajwa ni wa kweli, sanamu au mdoli

Lata, uzzah na manat walikuwa masanamu ya kiarabu kabla ya kuwajia Mtume kuja kuwaambia habari za Allah/God/Mungu wa kweli na Aya ya Qur'an nimekupa hapo juu

Kuhusu majina 99 ya Mungu hayo ni majina yanayoendana na sifa zake ambayo pia unaweza kuzitafsiri kwa lugha yoyote na yakaleta maana ileile
 
Sawa
 
Yesu Kristo anawapenda wote, na anataka kuwaokoa wote dhidi ya utapeli wa wanao jiita Manabii au Mitume:

Siku ya mwisho, yaani siku ya Kiyama, Yesu atashuka na kuwa hakimu:

Ndugu yangu utamwambia nini ili akupeleke mbinguni ?
......
Luka 23:39
Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.
40 Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo?
41 Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa.
42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
.....
Mtu mwenye hekima jitafakari,
Siku ya mwisho hakutakuwa na Biblia wala Qurani:

Wala Muhamadi, wala Allah, wala Malaika.
Mbele yetu atasimama Yesu Kristo tu:

Atakapo kuuliza ulibatizwa, kwa jina la Baba na Mwana, na la Roho Mtakatifu, kama nilivyo amuru ?
Utamjibuje ndugu yangu Muislamu ?
 
A
Bila shaka umeelewa ila wataka tuendelee sawa

Jibu ni kuwa neno Mungu linatamkwa tofauti kulingana na lugha mf.

Mungu--kiswahili
God-- Kingereza
Allah--Kiarabu
Mnungu--kizigua
Zumbe--kisambaa

Katika matamshi ya hizo lugha yote hutegemea huyo atakaetajwa ni wa kweli, sanamu au mdoli

Lata, uzzah na manat walikuwa masanamu ya kiarabu kabla ya kuwajia Mtume kuja kuwaambia habari za Allah/God/Mungu wa kweli na Aya ya Qur'an nimekupa hapo juu

Kuhusu majina 99 ya Mungu hayo ni majina yanayoendana na sifa zake ambayo pia unaweza kuzitafsiri kwa lugha yoyote na yakaleta maana ileile
Cha ujinga wako
Mungu kwa Kiarabu ni Illah na sio Allah:
Dini yenu inaishi kwa kutapeli tapeli tu:
La illah - Hakuna Mungu
Ila Allah - isipokuwa Allah
Muhamadi Rasuri illah - na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu:
Allah ni jina la Mungu wa Kiarabu:
Yaani illah wao anaitwa Allah:

Dini ya Kiislamu imeruhusu kusema uwongo ili kuitetea Dini, na kumtetea Muhamadi, na kumtetea mungu Allah, na kuyatetea majini:
Sasa sisi tutawaamini kwa kigezo kipi:
 
A

Cha ujinga wako
Mungu kwa Kiarabu ni Illah na sio Allah:
Dini yenu inaishi kwa kutapeli tapili tu:
La illah - Hakuna Mungu
Ila Allah - isipokuwa Allah
Muhamadi Rasuri illah - na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu:
Allah ni jina la Mungu wa Kiarabu:
Yaani illah wao anaitwa Allah
Hivyo ndivyo ulivyokaririshwa

Kwahiyo ulitaka Qur'an iliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu itumie neno God au Mungu ndio uamini?

Yaani isomeke "laa ila hailah God"! Means hapana Mungu isipokuwa God?
 
Amezaliwa na Mariam, kwa uwezo wa roho mtakatifu.

Mwana wa Mungu, mwenye umungu mmoja sawa na baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa kupitia yeye. Atarudi tena kuwahukumu wazima na wafu, nao ufalme wake hauna mwisho.

Amekaa kuume kwa baba pamoja naye.
Kwa hiyo na yeye ni mungu
 
A

Cha ujinga wako
Mungu kwa Kiarabu ni Illah na sio Allah:
Dini yenu inaishi kwa kutapeli tapeli tu:
La illah - Hakuna Mungu
Ila Allah - isipokuwa Allah
Muhamadi Rasuri illah - na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu:
Allah ni jina la Mungu wa Kiarabu:
Yaani illah wao anaitwa Allah:

Dini ya Kiislamu imeruhusu kusema uwongo ili kuitetea Dini, na kumtetea Muhamadi, na kumtetea mungu Allah, na kuyatetea majini:
Sasa sisi tutawaamini kwa kigezo kipi:
Yani hapa kinachokusumbua ni lugha ya kiarabu na tafsiri yake ila vitu unavyozungumza ni vilevile

Laa illah-hapana "Mungu"(neno Mungu unaliona kutokana na neon "illah")

Haiila Allah-ilipokuwa Mungu ikimaanishwa Mungu mmoja (neno Allah linaonekana tena likimaanisha Mungu kwa kiswahili)

Sasa hapo huelewi nini kiongozi ukijifunza lugha ya kiarabu hata kama sio kwa ajili ya maswala ya kidini utaelewa hayo maneno na utakuja kuona ulikuwa unatatizika padogo sana
 
Swali lako linaonyesha kana kwamba hujaelewa mantiki ya kwa nini jina la Musa limetajwa katika mada hii.

Sijamtaja Musa kwa sababu tunamfuata au tunataka kuiga kila alichofanya. La hasha. Nimemtaja Musa kwa sababu kuna watu wanaojaribu kuhalalisha utaratibu wa kuvua viatu kanisani kwa kutumia mfano wa Musa. Kwa maneno mengine, wao wanasema: “Mbona Musa alivua viatu aliposimama kwenye ardhi takatifu? Basi hata sisi tuvue.”

Kwa hiyo, nimetoa mfano wa Musa kwa lengo la kubatilisha hoja hiyo, si kwa lengo la kumfanya Musa kuwa kielelezo cha Ukristo. Musa hakuwa Mkristo, na hakuna mahali katika Agano Jipya ambapo Wakristo waliagizwa kuvua viatu kama utaratibu wa ibada. Yesu hakufundisha hilo. Mitume pia hawakulisisitiza hilo. Hivyo basi: kama sababu pekee ya kuvua viatu ni kwamba “Musa alivua,” basi sababu hiyo haina mashiko. Umenipata?
Kwani hadi sasa bado kuna MAHALI PATAKATIFU?
 
Back
Top Bottom