Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Ukisema hivyo unamaanisha Mungu hana utaratibu au sheria za Ibada zake, kwa hiyo tufanye Ibada asizo elekeza Mungu, basi kusinge kuwa na haja ya kuja Manabii wote wala Vitabu maana visinge kuwa na kazi.
Kwa mtizamo huu Mungu ana dini au muongozo aliowapa wanadamu waufuate ila yeye kama yeye hana dini ya kufuata maana hatuwezi kusema Mungu ni mkiristo au Muislam ila anaweza kuwa ametoa muongozo maalumu kati ya hizo mbili
 
6:163, 39:12

Islam imeanza 610 baada ya Yesu, Muhammad akiwa na miaka 40.
- Hili lilitokea karibu na Mecca, akiwa kwenye pango la Hira, mlima wa Jabal an-Nour

Uislamu, kwa mujibu wa wasomi wa kiislamu, rekodi iliyopo ni kuanzia karne ya 7, ambapo pia bado namba zao zinakaata huu ukweli-uongo wao.

Neno Allah, lilitumika na waarabu wengi wasioujua uislamu kabla, na limetoholewa kutoka maneno mengine kala Al-ilah, Alaha, El, Eloah.
- Wanasema baba'ake Muhammad aliitwa Abdullah, kwamba ni mtumishi wa Mungu.

Mwisho kabisa, kama dini ya uislamu haikuanzia kwa Muhammad, ni vipi mama'ake alikuwa kafiri mpaka kifo chake na kwa hilo yuko motoni?
Ni mwanzo wa Utume siyo mwanzo wa Uislamu kama ilivyo kuwa kwa Yesu ilikuwa ni mwanzo wa Unabii wake siyo mwanzo wa Dini.
 
Mungu hana dini
Mungu hana dini kwa maana yeye sio mfuasi wa dini au hakupewa muongozo wa kufuata bali yeye ndio hutoa Muongozo

Sasa Yesu alikuwa Myahudi (andiko limetolewa na Castle_Lite ) ila hapo hapo mnamuita Mungu very challenging
 
Swali lako lina amsha ubongo 🧠 maana haiwezekani Mungu akatuma manabii na Vitabu alafu asiwe na Dini yaani asiwe na utaratibu aliyo uridhiya haiwezekani.
Mtume azaliwe 570, ashushiwe kitabu 610, kitabu kikusanywe kwa miaka 23, hakuna ushahidi wa hayo mawe au ngozi zilizoandikwa maneno ya quran.

Akategemewa Hafsa kuwa na Suhuf.
Uthman ikabidi atengeneze standard copy ya quran baada ya kuamuru copy nyingine zoote zilizopo zichomwe.

Na copy mnayotumia, pia imetengenezwa 1924 Cairo.

Sasa, huyu Mungu mwenye hii dini ni yupi? Allah? Kama ndiye, bila shaka HAIWEZEKANI atume watu wake bila yeye kuwa na dini.

Tulio wengi pia bado hatujajua kama Allah ndiye Mungu huyo huyo aliyesemwa kwenye Biblia, hivyo no sahihi, Mungu wa biblia HANA dini.
 
Ni mwanzo wa Utume siyo mwanzo wa Uislamu kama ilivyo kuwa kwa Yesu ilikuwa ni mwanzo wa Unabii wake siyo mwanzo wa Dini.
Anasema yeye kuwa wa kwanza kusilimu miongoni mwao.
- Tangu kuzaliwa kwake mpaka anaingia kwenye hilo pango na umri wa miaka 40 alikuwa ana-practice dini ipi?

Kwahiyo kipi kilitangulia? Utume wake au kitabu chake?
- Nguzo za uislamu zilikuwepo kabla ya Quran?

Ukristoni, Agano la kale ni kabla ya Yesu na Agano jipya ni baada ya Yesu.
  • Kabla ya Yesu hakuna wafuasi wa Kristo, baada ya Yesu kuna wafuasi wa Kristo.
  • Hapa, inawataja wooote kuanzia Yohana mbatizaji kurudi mpaka kwa Adamu, na baada ya Yesu, ni yeye, wafuasi wake na Roho Mtakatifu.
 
Mtume azaliwe 570, ashushiwe kitabu 610, kitabu kikusanywe kwa miaka 23, hakuna ushahidi wa hayo mawe au ngozi zilizoandikwa maneno ya quran.

Akategemewa Hafsa kuwa na Suhuf.
Uthman ikabidi atengeneze standard copy ya quran baada ya kuamuru copy nyingine zoote zilizopo zichomwe.

Na copy mnayotumia, pia imetengenezwa 1924 Cairo.

Sasa, huyu Mungu mwenye hii dini ni yupi? Allah? Kama ndiye, bila shaka HAIWEZEKANI atume watu wake bila yeye kuwa na dini.

Tulio wengi pia bado hatujajua kama Allah ndiye Mungu huyo huyo aliyesemwa kwenye Biblia, hivyo no sahihi, Mungu wa biblia HANA dini.
Soma huu Uzi huwenda tukaelewa
 
Mungu hana dini kwa maana yeye sio mfuasi wa dini au hakupewa muongozo wa kufuata bali yeye ndio hutoa Muongozo

Sasa Yesu alikuwa Myahudi (andiko limetolewa na Castle_Lite ) ila hapo hapo mnamuita Mungu very challenging
Mkuu, tuhamie kwenye Uungu wa Yesu? Ipo clear kuwa Yesu ni Mungu sawa na Baba!

Najua utahamia pia kwenye Utatu mtakatifu, kisha tutamalizia kwa Paulo.

Haya, twende na moja moja....
 
Mkuu, tuhamie kwenye Uungu wa Yesu? Ipo clear kuwa Yesu ni Mungu sawa na Baba!

Najua utahamia pia kwenye Utatu mtakatifu, kisha tutamalizia kwa Paulo.

Haya, twende na moja moja....
Kuna hoja hatujaimaliza naona mmeikimbia

Yesu alikuwa dini gani? Mkasema alikuwa Myahudi swali je Mungu ana dini? Mkasema hana, swali lingine likaja kwanini Yesu aitwe Mungu huku alikuwa Myahudi kama muongozo wa maisha yake toka anazaliwa? Lete jibu sasa
 
Soma huu Uzi huwenda tukaelewa
Mkuu, nilisoma na sehemu pekee uliyoamua kuhusianisha jina la Allah na Mungu ndipo nilipoona umeamua kuwa biased...

Allah lilitumika na wapagani wa kiarabu wa kabila la wakureshi Mecca kumtaja mungu wao, hili hukulisema.

Kwamba pale Mecca, walikuwa wakiabudu watoto wa Allah, Al-lat, Al-Uzza na Manat, wote wakiwa watoto wa kike, kwamba hawa ndio watawaweka wao karibu na Allah baba yao.

Na Kaaba ndo ilikuwa sehemu yao ya ibada, ikiwa na miungu midoli kama Habal. Kaaba pia ikawa ni nyumba ya Mungu wao Allah

Kwahiyo, Muhammad akaamua kulitakasa jina la Allah kuwa ndio Mungu wa Tawhid yao.
 
Ila yesu alikuwa na dini?
Nilishajibu mkuu, Yesu hakuwa na dini...kama Uyahudi ni dini, basi alifuata misingi hiyo chini ya malezi yake na alipoingia kwenye majukumu yake, ndipo aliponyoosha njia zote na kututaka sasa kufuata njia hizo.

Alichonga barabara, ni uamuzi wako kuchochora au kupita alikokurekebisha.

Sio jukumu lake yeye kupita alikotengeneza kwakuwa alitutengenezea sisi njia ya kwenda aliko, bila hiyo ramani, hatufiki.

Yeye haihitaji ramani aliyoichora mwenyewe ili kufika kwa baba'ake, ndio hiyo sasa aliyotuachia sisi kupita.

Kama na hapa haijaeleweka kuhusu dini ya Yesu, sina jinsi nyingine ya kukuelewesha vile ninavyoelewa mimi mkuu!
 
Ume-comment kabla ya kusoma mada!!
Kwanini wakristo hawavui viatu wakiingia kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

☝️☝️Hapo nijibu nini? Ulichotaka nijibu ungeandika kwenye title ,title ndiyo inabeba kila kitu ,ukibadilisha context basi hiyo title iendane na context uliyobadili.
 
Anasema yeye kuwa wa kwanza kusilimu miongoni mwao.
- Tangu kuzaliwa kwake mpaka anaingia kwenye hilo pango na umri wa miaka 40 alikuwa ana-practice dini ipi?

Kwahiyo kipi kilitangulia? Utume wake au kitabu chake?
- Nguzo za uislamu zilikuwepo kabla ya Quran?

Ukristoni, Agano la kale ni kabla ya Yesu na Agano jipya ni baada ya Yesu.
  • Kabla ya Yesu hakuna wafuasi wa Kristo, baada ya Yesu kuna wafuasi wa Kristo.
  • Hapa, inawataja wooote kuanzia Yohana mbatizaji kurudi mpaka kwa Adamu, na baada ya Yesu, ni yeye, wafuasi wake na Roho Mtakatifu.
Miongoni mwa nguzo za Uislamu ni kumkiri Mungu na Mtume wake
Hata Yesu amefundisha
Yohana 17:3
“Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma”.

Kuhusu "Uislamu" kujisalimisha
Surah Al-Baqarah 2:131
kwa Kiarabu:
"إِذْ قَالَ لَهُ رَبُّهُ أَسْلِمْ ۖ قَالَ أَسْلَمْتُ لِرَبِّ الْعَالَمِين"

Tafsiri
“Alipomwambia Mola wake Silimu! Akasema nimesilimu kwa Mola wa walimwengu wote.”

Hii ni kauli ya Nabii Ibrahim (A.S) alipoamrishwa kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu akaonyesha utiifu wa hali ya juu. Aya hii inasisitiza maana ya Uislamu kuwa ni "kujinyenyekeza na kujisalimisha kwa Mola mmoja wa haki".
 
Wewe jamaa mbumbumbu sana, yesu alikuwa kabila la wayahudi au alikuwa mwarabu ?
Yesu alikuwa Muyahudi kama kabila, lakini alifundisha habari njema kwa watu wote, walio mfuata yeye ndio wakristo, maana yake alifundisha ujumbe aliokuja nao yeye (Injili) na kuendeleza mafundisho ya kabla yake.
 
Unajua mfalme hapo zamani alikuwa ananyenyekewa sana anapigiwa magoti anaheshimiwa sana, ndivyo tunapaswa kufanya kwa mungu.

Kwahiyo hili suala la viatu sioni kama ni suala la msingi la kujadili mpaka sasa kuna maskini wasio na viatu wao huomba biala viatu na kuna matajiri wao huomba na viatu, kiufupi sioni jambo la msingi tunalo jadili hapa so negative maombi yote mungu husikia.
Ukiandika "mungu" unamaanisha "shetani." Katika 2 Kor 4:4 shetani anatajwa kuwa ni mungu wa dunia hii.
Kamwe shetani hastahili kuheshimiwa. Ndio sababu nimewashauri watu wakiandika jina lake waanze na herufi ndogo
 
Ni mjadala na sio mjadara.
Tupe andiko kuwa Yesu hakuanzisha Dini.

Wote tunajua kuwa Yesu alianzisha Dini.
Na Aliwataka wanafunz wake waende kwenye mataifa na kuwapa watu habar njema na kuwabatiza.

Pitia hapa
Mathayo 16:18
"Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. "

Sasa Utajengaje Kanisa bila dini?.
Watu wa masihi ndio wakristo ambao Hilo kanisa limeanzia.
Je Hilo ni kanisa lipi?
 
Nilishajibu mkuu, Yesu hakuwa na dini...kama Uyahudi ni dini, basi alifuata misingi hiyo chini ya malezi yake na alipoingia kwenye majukumu yake, ndipo aliponyoosha njia zote na kututaka sasa kufuata njia hizo.

Alichonga barabara, ni uamuzi wako kuchochora au kupita alikokurekebisha.

Sio jukumu lake yeye kupita alikotengeneza kwakuwa alitutengenezea sisi njia ya kwenda aliko, bila hiyo ramani, hatufiki.

Yeye haihitaji ramani aliyoichora mwenyewe ili kufika kwa baba'ake, ndio hiyo sasa aliyotuachia sisi kupita.

Kama na hapa haijaeleweka kuhusu dini ya Yesu, sina jinsi nyingine ya kukuelewesha vile ninavyoelewa mimi mkuu!
Sawa
 
Mkuu, nilisoma na sehemu pekee uliyoamua kuhusianisha jina la Allah na Mungu ndipo nilipoona umeamua kuwa biased...

Allah lilitumika na wapagani wa kiarabu wa kabila la wakureshi Mecca kumtaja mungu wao, hili hukulisema.

Kwamba pale Mecca, walikuwa wakiabudu watoto wa Allah, Al-lat, Al-Uzza na Manat, wote wakiwa watoto wa kike, kwamba hawa ndio watawaweka wao karibu na Allah baba yao.

Na Kaaba ndo ilikuwa sehemu yao ya ibada, ikiwa na miungu midoli kama Habal. Kaaba pia ikawa ni nyumba ya Mungu wao Allah

Kwahiyo, Muhammad akaamua kulitakasa jina la Allah kuwa ndio Mungu wa Tawhid yao.
Hao washirikina wa Makka walivyotumia jinahilo ndiyo lisiwe halali je washirikina wa Tanzania wanavyotumia jina "Mungu" ndiyo litakuwa siyo halali.
 
Back
Top Bottom