Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

hakuna ushahidi kuwa kulikuwa na dini kama hivi leo kama vile uislam, usabato, ukatoriki, ulokole havikuwepo, yesu aliwaambia watu nifuateni na hakuanzisha brand yoyote.

Suala la udini amekuja nalo baadae Muhammad na manabii wengine wengi basda yake kama wakina mwamposa n.k
Eeh kwa hiyo mwenzio Castle_Lite anayesema kuwa yesu dini yake ni uyahudi unamshauri nini
 
Nikileta ushahidi wa Qur'an utaukubali? Jibu ili tuendelee
Swali zuri, hebu ngoja niwe serious.

Ujumbe wa Quran ukiuleta lazima pia nipime Quran ilivyokuja ipo vipi ili ndio niamini, siwezi kuamini juu juu kwenye matawi.
 
Swali zuri, hebu ngoja niwe serious.

Ujumbe wa Quran ukiuleta lazima pia nipime Quran ilivyokuja ipo vipi ili ndio niamini, siwezi kuamini juu juu kwenye matawi.
Hapo utaleta hoja juu ya hoja hatuwezi kumaliza
 
Walikuwa dini gani

Nyuma ya Mussa
(Yakobo. Ibrahim . Isaka)
Hawa hawakuwa na Dini.

Ili kuwepo kwa dini inahitaj kuwe na mising na pia sehem ya kukutania.

Agano la kale linasema Mussa ndio alimjengea Mungu Hema. Na pia aliamrishwa watu wakutane na wafuate Torati (mising ya Dini)

Baadae tunaona Suleiman alijenga Hekalu (ushahid wa Kibiblia na masalia uko hadi leo)
Ina maana hapa kwenye hekalu walikuwa wanasoma Torat ya Mussa.
Ile dini aliyoianzisha Musa.

Hivyo Manabii waliokuja baada ya Mussa wote walikuwa na Dini ambayo Musa amejenga misingi yake.
Including na Yesu na mtume Mohamed walikuwa Dini ya Mussa.
 
Castle_Lite elewa hili na usiseme tena kuwa yesu alikuwa myahudi 😃
Mwamba anamaanisha kila Mtume hakuwa na dini alikuja kuanzisha dini yake kuanzia Daudi, Musa, Isa(Yesu) na Muhammad sasa mingu walikuwa wangapi si ajabu wanaiabudu Mitume iliyotumwa na Mungu wakamuacha Mungu mwenyewe
 
Nyuma ya Mussa
(Yakobo. Ibrahim . Isaka)
Hawa hawakuwa na Dini.

Ili kuwepo kwa dini inahitaj kuwe na mising na pia sehem ya kukutania.

Agano la kale linasema Mussa ndio alimjengea Mungu Hema. Na pia aliamrishwa watu wakutane na wafuate Torati (mising ya Dini)

Baadae tunaona Suleiman alijenga Hekalu (ushahid wa Kibiblia na masalia uko hadi leo)
Ina maana hapa kwenye hekalu walikuwa wanasoma Torat ya Mussa.
Hivyo ni dini aliyoianzisha Musa.

Hivyo Manabii waliokuja baada ya Mussa wote walikuwa na Dini ambayo Musa amejenga misingi yake.
Including na Yesu na mtume Mohamed walikuwa Dini ya Mussa.
Kwa hiyo Genius Man anayesema kuwa mambo ya dini ameyaleta Muhammad ni muongo na apuuzwe au sio?
 
Mwamba anamaanisha kila Mtume hakuwa na dini alikuja kuanzisha dini yake kuanzia Daudi, Musa, Isa(Yesu) na Muhammad sasa mingu walikuwa wangapi si ajabu wanaiabudu Mitume iliyotumwa na Mungu wakamuacha Mungu mwenyewe
kwahiyo dini ni mungu ?
 
Nyuma ya Mussa
(Yakobo. Ibrahim . Isaka)
Hawa hawakuwa na Dini.

Ili kuwepo kwa dini inahitaj kuwe na mising na pia sehem ya kukutania.

Agano la kale linasema Mussa ndio alimjengea Mungu Hema. Na pia aliamrishwa watu wakutane na wafuate Torati (mising ya Dini)

Baadae tunaona Suleiman alijenga Hekalu (ushahid wa Kibiblia na masalia uko hadi leo)
Ina maana hapa kwenye hekalu walikuwa wanasoma Torat ya Mussa.
Ile dini aliyoianzisha Musa.

Hivyo Manabii waliokuja baada ya Mussa wote walikuwa na Dini ambayo Musa amejenga misingi yake.
Including na Yesu na mtume Mohamed walikuwa Dini ya Mussa.
Kumbe ili kuwa na dini lazima kuwe na sehemu ya kukutania? Nilikuwa sijui
 
Swali lako linaonyesha kana kwamba hujaelewa mantiki ya kwa nini jina la Musa limetajwa katika mada hii.

Sijamtaja Musa kwa sababu tunamfuata au tunataka kuiga kila alichofanya. La hasha. Nimemtaja Musa kwa sababu kuna watu wanaojaribu kuhalalisha utaratibu wa kuvua viatu kanisani kwa kutumia mfano wa Musa. Kwa maneno mengine, wao wanasema: “Mbona Musa alivua viatu aliposimama kwenye ardhi takatifu? Basi hata sisi tuvue.”

Kwa hiyo, nimetoa mfano wa Musa kwa lengo la kubatilisha hoja hiyo, si kwa lengo la kumfanya Musa kuwa kielelezo cha Ukristo. Musa hakuwa Mkristo, na hakuna mahali katika Agano Jipya ambapo Wakristo waliagizwa kuvua viatu kama utaratibu wa ibada. Yesu hakufundisha hilo. Mitume pia hawakulisisitiza hilo. Hivyo basi: kama sababu pekee ya kuvua viatu ni kwamba “Musa alivua,” basi sababu hiyo haina mashiko. Umenipata?
Mtumishi embu tuambie Yesu alikuwa anavua viatu au anavaa maana Yesu amesema:
Mathayo 11:29-30
"Jitieni nira yangu mjifunze kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu, kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi".

Na hapa akafundisha hivi
Mathayo 6:9-10 (Sala ya Bwana)
“Basi ninyi salini hivi Baba yetu uliye mbinguni Jina lako litukuzwe Ufalme wako uje Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani kama huko mbinguni".
 
Back
Top Bottom