Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Nakuuliza tena wewe unaweza kuzaliwa mkiristo ila ukwaambia watoto wako au wanafunzi wawe budha?
Samahani mkuu, naona umeamua kukaza fuvu tu, ni dalili ya kuishiwa hoja au majibu?

Nakujibu tena, kwa namna nyingine;
  • Budha imeanzishwa na asiyekuwa Myahudi, ni sawa?
  • Ukristo haukuanzishwa na Yesu, ni sawa?

Wakristo ni wafuasi wa Kristo, ndani ya kuwa wafuasi, dini ikawa ni ukristo.
- Dini ni mfumo wa kiimani, kimaadili na desturi zinazomwelekeza mtu katika uhusiano wake na anayemuamini kuwa Mungu.

Yesu hakufundisha UYAHUDI bali UYESU.
 
Sina hoja niliyoikana ila wewe ndio unauliza swali ambalo nishajibu sawa ngoja nikujibu tena

Kusilimu ni sawa na kubatizwa na hivyo ndivyo nilivyosema hapo juu
Sawa, hapa sasa umejibu!

Tafsiri uliyoitoa mbele imekataa kuwa hizo maneno ni tofauti.

Tuamue moja ili tuendelee
 
Samahani mkuu, naona umeamua kukaza fuvu tu, ni dalili ya kuishiwa hoja au majibu?

Nakujibu tena, kwa namna nyingine;
  • Budha imeanzishwa na asiyekuwa Myahudi, ni sawa?
  • Ukristo haukuanzishwa na Yesu, ni sawa?

Wakristo ni wafuasi wa Kristo, ndani ya kuwa wafuasi, dini ikawa ni ukristo.
- Dini ni mfumo wa kiimani, kimaadili na desturi zinazomwelekeza mtu katika uhusiano wake na anayemuamini kuwa Mungu.

Yesu hakufundisha UYAHUDI bali UYESU.
Kwa maana hiyo Yesu hakuwa na dini
 
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?

Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.

Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."

Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.

Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)

Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.

Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Mathread ya kupoteza muda tu
 
Wak
Biblia ina lugha ambayo kama unasoma kama msoma comments wa JEIFU huwezi kutoboa
Wakiona kichaka kinawaka Moto wakati wakichunga kondoo watavua viatu usijali
 
Back
Top Bottom