Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Nani kakwambia uyahudi ni dini ? kabla ya ujio wa ukristo ? kama utaki elimu kwanza ndio ujue utakuwa mbumbumbu, huwezi kujua kitu bila kukielewa ni nini.
Uyahudi ni nini basi?.
Hebu tufafanulie tafadhali.
Kwa maneno mafup tu yanayoeleweka