Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Swali je kama Yesu hakuwa na dini hao wanafunzi wake dini wameitoa wapi?
Ukristo sio Dini:
Ni imani ya kuamini na kutekeleza mafundisho ya Yesu Kristo:

Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

Warumi (Rom) 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
 
Hii nayo ni agenda, kuna watu wanataka isemwe musa alikuwa muislam ila dah!!!🐷
Sio lazima awe muislam tuambie wewe Musa alikuwa dini gani rejea kitabu chochote unachokijua wewe utupe jibu
 
Wakristo havui viatu wakiingia kanisa ila WANAVUA AKILI wkiingia kanisani
 
Sasa mbona unayesema yupo sahihi kasema yesu hakuwa na dini 😃

Ooops.
Ila nilisoma content yake kutetea jina la wakristo limetoka wap.
Na ndio nikasema yuko sahihi.

Ila kuhusu Dini ya Yesu.
Yesu alikuwa myahudi wa Dini na kabila.
 
Kazanazo, Al-mukheef
Hoja zenu zina mantiki, na kwaajili ya kujifunza, huu mjadala ungekuwa unajikita kwenye kutufahamisha misingi na maana ya maneno kisha imani, tungefaidika wengi, mathalani;

  • Uislamu ni nini na ulianza lini? Nani aliupokea uislamu kwanza?
  • Quran ni nini, imetoka wapi, kwaajili ya nini na nani? Kihistoria, Quran imekuwepo kuanzia lini? Kama kuna mabadiliko yameshawahi fanyika kwenye Quran ni yapi na kwanini?
  • Manabii/Mitume wa kwanza kabla ya Quran kuwepo ni akina nani?
  • Quran inaweza kujisimamia yenyewe bila usaidizi ili kueleweka?
  • Quran ni kamilifu kiasi cha kujijibu yenyewe bila mawaa?
  • Quran ilithibitishwa na nani kuwa ni kitabu halali au kuwa no maneno ya Mungu mwenyezi mwenyewe?
  • Kabla ya Quran, kuna aliyewahi kuuishi uislamu?
  • Uislamu na Quran, vilienda sambamba au kuna utofauti mkubwa wa miaka baina ya muda ilipoteremsha na ilipoandikwa?

Nadhani, kwa upole na upendo tu, tukijifunza hayo kupitia ninyi, tunaweza kuwa na picha nzuri sasa ya kujifunza kuhusu UKRISTO na BIBLIA yao, kisha tuone wapi hivi vitu viwili vinaingiliana na KUKINZANA.
- Upande upi utakuwa sahihi, litakuwa ni jukumu letu sisi wanafunzi kuamua.

Castle_Lite, Che mittoga
Muwepo pia kutufundisha upande wenu kwa mtindo huo huo ili na sisi tuhoji kwa kujifunza.
 
Hiyo ni mada nyingine sasa
 
Jibu hili swali tuendelee

Yesu alikuwa Myahudi kwa dini.

Najua sasa unataka kusema nini.
Na pengine ndio hukunielewa nadhan..
Ila kabla ya kusema tafakari hili.

Mtume alikuwa na Dini gan kabla ya kushushiwa wahyi.?
Sasa ashahushiwa wahyi . Je watu wafuate Dini ile aliyokuwa nayo mwanzo? Au baada ya kupata Wahyi?.

Kumbuka pia sababu ya Mtume kwenda mapangoni ilikuwa ni nini.
 
Mtume kabla ya kushushiwa wahyi alikuwa muislam by nature lakini asie na elimu wala uwelewa wa dini na mafundisho yake kama wewe tu wakati unazaliwa hukujua lolote kuhusu dini

Yesu alikuwa Myahudi ila wanafunzi wake wawe wakiristo? Wakati huo Uyahudi ni Dini na Ukiristo ni dini au hiyo ya Uyahudi sio Dini sahihi ni ukafiri ndio maana akawaambia wanafunzi wake wawe wakiristo? Nawaza tu
 
Sasa kama yesu hakuwa mkiristo na alikuwa anafundisha mafundisho ya Musa, na Musa alivua viatu alipoingia kwenye nyumba takatifu

Swali: kwanini asiwafundishe wafuasi wake hakiwafundisha kuvua viatu wakiingia katika ibada, je unaamini hakiwafundisha?
Yesu ni Mungu mwana mussa na Yesu kunatofauti kubwa
 
Hiyo ni mada nyingine sasa
Ila mjadala unavyoelekea, msingi wake ni hiyo "mada nyingine".

Ukiangalia, hakuna anayeanzisha uzi wa kufundisha ila kutuhumu upande mwingine, ni kana kwamba mna-assume wote ni maulamaa, hivyo mko kujadili shortcomings za pande zote!

Ni sawa, lakini si muanze na jambo moja, ligongeni, kubalianeni hata kama mtakubaliana kutokukubaliana, kisha muhamie jambo la pili?

Leo mnazungumzia "wakristo kutovua viatu kanisani", mimi nimeshapata mambo kadhaa hapa lakini sijapata muafaka wake bado;
  • Hakuna sehemu inadhibitisha kwa mujibu wa dini, mila na desturi za kiyahudi, kuwa walikuwa wanavua viatu.
  • Mungu, hakumtokea Musa mara moja tu, ila ni mara moja tu ndio Musa aliambiwa avue viatu.
  • Sinagogi, Msikiti, Hekalu na Kanisa, ni majina kwa mujibu wa jamii, sio imani!
  • Kuna hoja kuwa kumbe sio kosa kuingia na viatu msikitini, kwamba hata Mfalme/prince wa Arabuni amewahi onekana akiswali na viatu msikitini.
  • Kwamba, kusujudu ni lazima wakati wa kuswali kwa imani ya kiislamu.
  • Nimeona tafsiri ya najisi, na jinsi gani inakinzana baina ya uelewa wa watu.
  • Nimeona hapa, kuwa Muhammad ndio muislamu wa kwanza kisha nimeona waliomtangulia wakisemwa kuwa waislamu.
  • Lakini imefika mbali hata kuzungumzwa kuhusu mabikra 72 hapa
  • Nimeona pia imetajwa suala la watu kupakatwa kwa mujibu wa biblia.
  • Nimeona hapa kuwa Adam na Yesu wote waliumbwa kwa udongo kwa mujibu wa Quran
  • Nimeona suala la kuwa Yesu pekee ndio atakayerudi siku ya kiama kupambana na Dajjal(sijui ni nani) kisha ikajibiwa kuwa wote tutarudi, akikusudia kuwa Muhammad naye atarudi ili kuja kuhukumiwa.

Mengi yamejumuishwa kwenye hii mada, na kama haitajikita kwa topic moja moja, mtaruka ruka huku na kule bila kufika muafaka na sisi wanafunzi tutabaki watupu!
 
Che mittoga njoo umuelekeze huyu eti anasema yesu alikuwa na dini
Hata kama angeikuta misikiti Yesu angeingia na kujumuika na waumini kwa lengo la kuwahubiria injiri:

Huko Sinagogini siku ya kwanza kuingia na kuhubiri walimfukuza na nusu wamjeruhi:

Luka 4:14
Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akenda Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.

15 Naye alikuwa akifundisha katika masinagogi yao, akitukuzwa na watu wote.

16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.

17 Akapewa chuo cha nabii Isaya, akakifungua chuo, akatafuta mahali palipoandikwa,

18 Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,

19 Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa.

20 Akakifunga chuo, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.

21 Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.

22 Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu?

28 Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.

29 Wakaondoka wakamtoa nje ya mji, wakampeleka mpaka ukingo wa kilima ambacho mji wao umejengwa juu yake, wapate kumtupa chini;

30 lakini yeye alipita katikati yao, akaenda zake.
 
Alikuwa Muislam

Naona ni jinsi gan Waislam hamuelewi hiki nitakachosema chini!.

Misingi ya Dini ni Miongozo ya namna ya kuishi , kusali na taratibu zake ambavyo zipo kwenye Vitabu.
Kitabu chenu ni Quran.

Kimeshushiwa kwa Mohamed akiwa na miaka 40.
Kabla ya hapo hakukuwa na Uislam kwaababu hakukuwa na Miongozo kama nilivyosema hapo juu.

Mohamed alikuwa mpagani.
Na Baba yake alikuwa Mpagani.
Na kabla yake hakukuwa na Uslam.

Hebu soma hii
Quran 42:52 -
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa amri yetu. Ulikuwa hujui Kitabu ni nini, wala Imani. Lakini tumekifanya kuwa ni Nuru ambayo kwayo tunammwongoa tumtakaye katika waja wetu. Na hakika wewe unaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka.
 
Back
Top Bottom