Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Kwa hiyo wewe siku ya kiama hutokuwepo?
Vyovyote vile nitakavyojibu.
Mm au ww hakuna atakaye kuwa na uhakika wa hayo majibu.
Kwahiyo naomba nisijibu
Kwa hiyo wewe siku ya kiama hutokuwepo?
Twende taratibu Yesu alikuwa Myahudi kwahiyo akawaamuru wanafunzi wake wawe wakiristo?
Kwa hiyo hayo maneno ya Qur'an uliyoquote hapo juu huyaamini? Means siyo ya kweli?Siiamini kwasababu imechukua maneno ya Kutoja Kitabu cha Injili.
Ni sawa mm sasahiv nichukue hadithi za biblia. Za kipagani nk na kuunda kitabu changu ambacho kinasema Yesu atarudi na kuambia watu wakiamini.
Bila shaka, hawatakiamini.
Hivyo hivyo mm siamini Quran kwa sababu ni Kitabu ambacho hakijajitegemea na kuwa na Misingi yake.
Imecopy na kupaste.
Ila sio kuwa wakiristo?Sawa taratibu.
Yesu Aliamuru watu wamfuate Yeye kama njia ya kweli.
Sawa niambie wapi Qur’an imesema yesu atarudi siku ya kiamaSiiamini kwasababu imechukua maneno ya Kutoja Kitabu cha Injili.
Ni sawa mm sasahiv nichukue hadithi za biblia. Za kipagani nk na kuunda kitabu changu ambacho kinasema Yesu atarudi na kuambia watu wakiamini.
Bila shaka, hawatakiamini.
Hivyo hivyo mm siamini Quran kwa sababu ni Kitabu ambacho hakijajitegemea na kuwa na Misingi yake.
Imecopy na kupaste.
Yesu hakuwa na Dini, yeye Masihi aliye kuja kufundisha habari njema za ufalme wa Mungu ili kutimiza AganoJipya:Twende taratibu Yesu alikuwa Myahudi kwahiyo akawaamuru wanafunzi wake wawe wakiristo?
Nani tena kampa mamlaka munguNimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Castle-rite unamuamini huyu? Anayosema ni kweli? Naona anaturudisha nyuma tYesu hakuwa na Dini, yeye Masihi aliye kuja kufundisha habari njema za ufalme wa Mungu ili kutimiza AganoJipya:
Yeremia (Jer) 31:31
Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
........
Yesu ni wa wote na hata kama angeikuta Misikiti wakati huo angeingia ili kuwafundisha waumini Habari Njema za Ufalme wa Mungu; Injiri
Hivyo kwa Mujibu wa Yesu watu wote wanatakiwa kuwa wanafunzi wake yaani Wakristo:
Marko (Mar) 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Yesu ndio Njia Kweli na Uzima wa kila kiumbe:
...........
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Hakuna Agano lingine la Mungu na Mwanadamu zaidi ya Agano la Kale kupitia Torati na Agano Jipya kupitia Injiri:
Ila sio kuwa wakiristo?
Swali je kama Yesu hakuwa na dini hao wanafunzi wake dini wameitoa wapi?Yesu hakuwa na Dini, yeye Masihi aliye kuja kufundisha habari njema za ufalme wa Mungu ili kutimiza AganoJipya:
Yeremia (Jer) 31:31
Angalia, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
........
Yesu ni wa wote na hata kama angeikuta Misikiti wakati huo angeingia ili kuwafundisha waumini Habari Njema za Ufalme wa Mungu; Injiri
Hivyo kwa Mujibu wa Yesu watu wote wanatakiwa kuwa wanafunzi wake yaani Wakristo:
Marko (Mar) 9:41
Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.
Yesu ndiye Njia Kweli na Uzima wa kila kiumbe:
...........
Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Hakuna Agano lingine la Mungu na Mwanadamu zaidi ya Agano la Kale kupitia Torati na Agano Jipya kupitia Injiri:
Yuko sawa kabisa.Castle-rite unamuamini huyu? Anayosema ni kweli? Naona anaturudisha nyuma t
Aliamuru mumfuate yeye akiwa dini gani? Kwa maana na nyie muwe wa dini gani? Hilo ndio swali la msingi hebu jibu vizuri ili tuelewaneYesu aliamuru Kumfuata Yeye.
Sasa watu wakawa wanawaita wanafunzi wanaomfuata Yesu kama wanafunzi wa Yesu.
Pia nishajua unapochanganya na ambapo hauelewi.
Ni hivi Maana ya Kristo ni masihi.
Yesu aliitwa Yeshua. Jina la kiebrania.
Ila Vitabu vya agano la Kale vilitabiri kuwa Masihi atakuja. Na atafunuliwa kwao.
Yesu ni masihi.
Ndio maana ya Yesu Kristo.
Watu wa Masihi. Ndio wanaitwa Wakristo.
Kwahiyo unakubali kuwa yesu hakuwa na dini?Yuko sawa kabisa.
Ww nadhan hukuwa unajua maana ya Kristo.
Yesu aliamuru watu wamfuate yeye.
Nadhan ulitegemea kuwa waitwe wa Yesu. Au wa Yeshua.
Ila wanaitwa wakristo kwasababu Yesu ni masihi akiyetabiriwa kuwa atakuja toka agano la kale.
Wamasihi = Wakristo
Swali je kama Yesu hakuwa na dini hao wanafunzi wake dini wameitoa wapi?
Nilishajibu kuwa Alikuwa Myahud.Kwahiyo unakubali kuwa yesu hakuwa na dini?
Hii nayo ni agenda, kuna watu wanataka isemwe musa alikuwa muislam ila dah!!!🐷Nimekupata,
Simple answer: Musa hakuwa mkristo ndio maana wakiristo hawatakiwi kuvua viatu kanisani
Myahudi kwa maana ya dini au taifaNilishajibu kuwa Alikuwa Myahud.
Sasa mbona hamueleweki mara hakuwa na dini mara alikuwa Myahudi ok jiibu ilo swali apo juuNilishajibu kuwa Alikuwa Myahud.
Alibatizwa na kwenda Sinagogi.
Au alibatizwa na kwenda Sinagogi kwa Dini gan?.
Uyahudi umeanzishwa na Mussa.
Na mpaka leo wanaamini Mussa ndio Nabii wao mkubwa.
Dini na Kabila.Myahudi kwa maana ya dini au taifa