pumbavu zako wewe kobazi,katawaze na ugonoke hukoNenda kajifunze kuandika ujue kutofautisha wapi pakuweka r na l.
Kumbe mbumbumbu kuandika haujui unataka kuzungumza mambo ya logic.
hamjawahi kuwa na akiki nyie.wewe mwenzetu sio riziki hadi unashangaa ****? Kwa hiyo huyo Brian Deacon mnayemuabudu akiona watu wanafanya mapenzi huwa anafumba macho? Wanaume rijali hawashangai sehemu za siri za mwanamke labda shoga
Sawa ninakupa swali linalofanana, je wewe unaweza kuwa mkiristo ukawafundisha wanao ubudha?Kwanza Tofautisha Dini na Kabila.
Pili Yesu anasema
Mathayo 5:17
"Msidhani ya kuwa nalikuja KUITANGUA TORATI AU MANABII; La!, SIKUJA KUTANGUA, bali KUTIMILIZA.
Tatu. Agano la kale yote ndio Dini ya Kiyahudi
Agano jipya ina Injili ya Yesu.
Ambayo hata Quran inaiamini.
Wakristo tuna amini agano la kale na agano Jipya.
Kwahiyo kama wakristo ni wayahudi as dini bas ni wayahudi extra coz ya Ukamilifu ambao Yesu aliufanya
Kajifunze kuandika siongei na mazezeta.pumbavu zako wewe kobazi,katawaze na ugonoke huko
Sawa ninakupa swali linalofanana, je wewe unaweza kuwa mkiristo ukawafundisha wanao ubudha?
Yesu kapewa injili kama kitabu cha kumuongoza katika umma/watu wake sawa na Musa alivyopewa Torati na daudi alivyopewa Zaburi na Muhamad alivyopewa Quran
Vitabu sio dini
Ok, sasa wewe ni mkiristo huwezi kumfundisha mwanao ubudha inawezekanaje Myahudi Yesu awafundishe wanafunzi wake ukiristo?Siwez fundisha watu Ubudha.
Pia kuhusu Ukristo soma pia na hii
Quran 2:140
"Au mnasema kuwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi au Wakristo? Sema: Je, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu? Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliye ficha ushahidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na hayo myafanyayo."
Kuonyesha Uyahudi na Ukristo ni Dini.
Zezeta mama yakoKajifunze kuandika siongei na mazezeta.
Sawa ninakupa swali linalofanana, je wewe unaweza kuwa mkiristo ukawafundisha wanao ubudha?
Yesu kapewa injili kama kitabu cha kumuongoza katika umma/watu wake sawa na Musa alivyopewa Torati na daudi alivyopewa Zaburi na Muhamad alivyopewa Quran
Vitabu sio dini
Ok, sasa wewe ni mkiristo huwezi kumfundisha mwanao ubudha inawezekanaje Myahudi Yesu awafundishe wanafunzi wake ukiristo?
Yes! Quran inathibitisha manabii wote hawakuwa wayahud wala wakiristo bali walikuwa waislam
Ingefaa uanze kujibu swali langu nililokuuliza halafu ndio mengine yafuate,Quran ni kitabu ambacho kimedandia dandia hadithi za kwenye Agano la kale na agano Jipya .
Na pia kuna hadithi nying tu ambazo Quran imedanganya.
Ziko nying na ukitaka nitakuletea ushahidi.
Kwahiyo Nina mashaka sana na Quran.
Kama ni kitabu cha Mungu bas ingefaa kiwe na vitu vinavyojitegemea na sio kurudia vitu ving ambavyo vitabu vingine vitakatifu imeongea.
Kitabu kitakatifu cha wabudha kiko very independent.
Ingefaa pia Quran ijengwe kwa Mising yake yenyewe.
Na ndio maana unaona Kipind mtume anasema ameshushiwa Wahyi na kuanza kusema kwa watu hizo baadhi ya aya. Watu walimuona kwamba ana uwenda wazimu.
Vipi ile dini ya waumini wake wanaoibiana viatu wakati wa ibada 😂Dini ya kukata viuno na kuimba kwenye nyumba zao za ibada.
Hoja ya Muhammad kuwaambia ummah/watu wake kuwa yeye ndio Muislam wa kwanza nishakujibu hapo juu kama hujaelewa kasome tenaImewezekana Yesu kufundisha Ukristo kwa sababu nilizotaja huko juu.
Kuwa yeye Yesu aliwaamuru.
(Sijui hujaelewa lipi).
Zaman walikuwa wanabatizwa kwa maji kama ishara ya utakaso .kama alivyoamuriwa Mussa.
Yesu pia alibatizwa hivyo hivyo.
Lakin baaae Yesu aliamuru wanafunz wake wakibatiza watu wawabatize kwa namna gani.
Kwahiyo ni maelekezo yake mwenyewe.
Hoja kuwa manabii wote walikuwa Waislamu pia nishaijibu kuwa kama wote walikuwa waislamu . Kwan Mohamed alisema yeye ndio Muslam wa kwanza.
Pia Uslam umedandia dandia hadithi za wayahudi pamoja na tamaduni zao . Pamoja na manabii wao.
Kwanini hakuwataja Manabii wa Kiarabu kwenye Quran ?.
Makkah ilikuwepo na kuna Dini za kipagan zilikuwepo.
Refer story za ile miungu mitatu ya Kipagani.
Mohamed alitakiwa aanzishe Dini kwa misingi yake mwenyewe na sio kupitia Vitabu vya wenzake.
Ingefaa uanze kujibu swali langu nililokuuliza halafu ndio mengine yafuate,
Lakini kuhusu upekee wa kitabu hiyo ni hoja dhaifu, vitabu vya dini ni maneno ya Mungu na watu wanaofikishiwa maneno au ujumbe huo ni watu wa Mungu sasa Mungu atakuwaje na ndimi mbili?
Vitabu vyote Torati, Zaburi, Injili na Quran ujumbe ni mmoja ila baadhi ya waheshimiwa wanatwist maneno kuendana na matakwa yao na hapo ndio upekee unapokuja
Hiyo yakuamuru kama unavyosema ndio nakuuliza wewe kama mkiristo utaamuru vipi watoto wako wawe wabudha inawezekanaje?
Hapa hatujadili mawazo binafsi tunajadili maandiko kwahiyo haina haja ya kuleta mawazo binafsi tulete hoja na maandikoNgoja nikuambie kitu.
Mohamed ni mjanja na alifikiria namna ya kuunganisha watu na akaja na hiyo hoja ya Mungu mmoja.
Akaanza kuchukua maneno na vitabu vya Wayahudi na Wakristo.
Akachukua mila na desturi za Wasabai.(kuabudu jiwe jeusi na Hijja)
Akachanganya pia na Mika na desturi Kipagani (kuabudu na kuapa kwa majina ya mwezi na Jua).
Na akasema kuna Muungozo ambao ndio Quran.
Ambayo ilikaririwa na Wafuasi wake.
Na yeye alivyofariki ndio ikaandikwa zike Aya . Na Sio kwamba kweli Quran imeshushwa . La hasha. Haijashushwa ila maneno ya Quran ndio walidai yameshushwa kwa mtume kwa kupitia wahyi.
Na huu ndio Ukweli ambao Waislam weng hamtak kukubali.
Qur’an mara zote huonyesha Uyahudi na ukristo ni dini ila sio dini sahihiKuonyesha Uyahudi na Ukristo ni Dini.
Kwahiyo inawezekana mtu mmoja akawa na dini mbili?Labda nikuambie tu.
Imewezekana. Kwasababu Yesu aliamuru wanafunzi wake wafundishe watu na kuwa waty wake.
Kwahiyo Wakristo ni wayahudi pia ila Wenye mafundisho ambayo Yesu ameamuru.