Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Kwa sababu Mungu haishi kwenye nyumba za matifali
 
Soma hapa Qur'an 10:84 na 2:134
Ww unajua jinsi Uislam ulivyochukua misingi. Tamaduni . Za dini ya Kiyahudi na Kikristo.

Mussa alianzisha Dini ya Kiyahudi na iko hadi leo. Na ndio Nabii wao mkubwa.

Hoja yako umeijibu kwa kuwa imeandikwa kwenye Quran
Kuwa Mussa alikuwa muislam .

Wali langu
Ikiwa Mussa alikuwa Muslamu. Kwanini wafuasi wake wasiwe Waislamu..?
Wakabaki na Uyahudi?.

Kwa hoja yako ni kuwa pia Manabii wote waliopita walikuwa waislamu.

Lakin Quran inaandika kuwa Mtume Mohamed ndio mtu wa kwanza kusilimu na kuwa Muislam.
Quran 6:14
"Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina."
 
kumbe kama ni hivyo,hata nguruwe akiingia tumboni hawi najisi
Ni kweli kabisa kama kaingia by chance hawezi kuwa najisi ila nguruwe kama nguruwe ni najisi na hapaswi hata kuguswa
 
Ww unajua jinsi Uislam ulivyochukua misingi. Tamaduni . Za dini ya Kiyahudi na Kikristo.

Mussa alianzisha Dini ya Kiyahudi na iko hadi leo. Na ndio Nabii wao mkubwa.

Hoja yako umeijibu kwa kuwa imeandikwa kwenye Quran
Kuwa Mussa alikuwa muislam .

Wali langu
Ikiwa Mussa alikuwa Muslamu. Kwanini wafuasi wake wasiwe Waislamu..?
Wakabaki na Uyahudi?.

Kwa hoja yako ni kuwa pia Manabii wote waliopita walikuwa waislamu.

Lakin Quran inaandika kuwa Mtume Mohamed ndio mtu wa kwanza kusilimu na kuwa Muislam.
Quran 6:14
"Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina."
Muhammad aliyasema hayo maneno kwa umma/watu wake kama alivyosema hapo Musa kwa watu wake

Swali kwako: Kama Yesu alimuamini Musa na kufundisha maneno ya Musa kwanini Yesu asiwe dini ya kiyahudi kama ulivyosema kuwa Musa alikuwa Myahudi?
 
Yesu alikuwa Myahudi.
Na dini pia alikuwa myahudi.
Aliingia Sinagogi.

Maagizo yake aliyowaachia wanafunzi wake baada ya kupaa kwenda Mbinguni ndio yakazalisha Ukristo na kuamuru Watakaomuamini wabatizwe na kuwa watu wake.
Hapingani na Uyahudi.
 
Kwanini Yesu awe myahud wanafunzi wake wawe wakiristo? Kwanini wasiwe wayahud
 
Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?

Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.

Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."

Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.

Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)

Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.

Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Kuvua viatu maana yake ni nini? Kuna nchi mtu mkubwa akiingia ukumbini (kama kuonyesha heshima) unasimama, na kuna nchi unakaa chini. Sasa kama kwa wakati wa Musa na desturi zao kuvua viatu kulionyesha heshima/uchaji wa Mungu, katika enzi zetu hizi kuvua viatu hakuna maana hiyo. Unaweza kuonyesha heshima hata kama umevaa viatu. Upo hapo?
 
Kwanini Yesu awe myahud wanafunzi wake wawe wakiristo? Kwanini wasiwe wayahud

Kwasababu Maagizo yake aliyowaachia.
Matendo ya mitume 28:19
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu"
 
Kwasababu Maagizo yake aliyowaachia.
Matendo ya mitume 28:19
"Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu"
Kwahiyo wewe unaweza kuwa msukuma ukawaagiza watoto wako wawe wachaga?
 
Just a reminder na alert kwa wasiojua: Muislamu kuswali na viatu haikatazwi wala si sharti kuvua viatu muda wa kuswali cha muhimu ni mtu aangalie tu kiatu hakina najisi basi (vumbi tope siyo katika najisi) suala la kuvua viatu ni kutunza tu yale mazulia yetu sema ikazoeleka kwa wasiojua wakadhani ni sharti la swala.
 
Swali lako linaonyesha kana kwamba hujaelewa mantiki ya kwa nini jina la Musa limetajwa katika mada hii.

Sijamtaja Musa kwa sababu tunamfuata au tunataka kuiga kila alichofanya. La hasha. Nimemtaja Musa kwa sababu kuna watu wanaojaribu kuhalalisha utaratibu wa kuvua viatu kanisani kwa kutumia mfano wa Musa. Kwa maneno mengine, wao wanasema: “Mbona Musa alivua viatu aliposimama kwenye ardhi takatifu? Basi hata sisi tuvue.”

Kwa hiyo, nimetoa mfano wa Musa kwa lengo la kubatilisha hoja hiyo, si kwa lengo la kumfanya Musa kuwa kielelezo cha Ukristo. Musa hakuwa Mkristo, na hakuna mahali katika Agano Jipya ambapo Wakristo waliagizwa kuvua viatu kama utaratibu wa ibada. Yesu hakufundisha hilo. Mitume pia hawakulisisitiza hilo. Hivyo basi: kama sababu pekee ya kuvua viatu ni kwamba “Musa alivua,” basi sababu hiyo haina mashiko. Umenipata?
Lengo la andiko hilo la Musa kuvua viatu,ni kwa sababu wakati huo,viatu vilionekana ni najisi.Na Musa asingalimuelewa MUNGU bila kuambiwa avue viatu.Kwao viatu vilikuwa ni uchafu.Na wao waliamini MUNGU hapendi vitu vichafu kama viatu nk.Kwa Wakristo viatu ni dhambi.Unapoenda mbele za MUNGU lazma ujitakase,utubu dhambi zako,uache kiburi,mjivuno.Uonyeshe upendo kwa MUNGU na Kwa jirani Yako.Uwe na moyo mweupe,safi usio na mawaa mbele za MUNGU.
 
siwezi kuamini hicho kitabu chenu,ukiniletea mstari kutoka kwenye biblia ntakuamini
Lete andiko kwenye hicho kitabu chako unachokiamini linaloonesha Musa alikuwa dini gani
 
kwa hiyo nyie mungu wenu anawapa zawadi ya quumer.
Duhh inafikilisha sana🤣🤣🤣
wewe mwenzetu sio riziki hadi unashangaa ****? Kwa hiyo huyo Brian Deacon mnayemuabudu akiona watu wanafanya mapenzi huwa anafumba macho? Wanaume rijali hawashangai sehemu za siri za mwanamke labda shoga
 
Kwahiyo wewe unaweza kuwa msukuma ukawaagiza watoto wako wawe wachaga?

Kwanza Tofautisha Dini na Kabila.

Pili Yesu anasema
Mathayo 5:17
"Msidhani ya kuwa nalikuja KUITANGUA TORATI AU MANABII; La!, SIKUJA KUTANGUA, bali KUTIMILIZA.

Tatu. Agano la kale yote ndio Dini ya Kiyahudi
Agano jipya ina Injili ya Yesu.
Ambayo hata Quran inaiamini.

Wakristo tuna amini agano la kale na agano Jipya.
Kwahiyo kama wakristo ni wayahudi as dini bas ni wayahudi extra coz ya Ukamilifu ambao Yesu aliufanya
 
kwa hiyo nyie mungu wenu anawapa zawadi ya quumer.
Duhh inafikilisha sana🤣🤣🤣
Nenda kajifunze kuandika ujue kutofautisha wapi pakuweka r na l.
Kumbe mbumbumbu kuandika haujui unataka kuzungumza mambo ya logic.
 
Back
Top Bottom