Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
sasa viatu vimepita kwenye mavi, mikojo, chooni, nk halafu unaingia navyo kwenye nyumba ya ibada.
ndani ya Kabul-Afghanistan.
ndani ya Kabul-Afghanistan.
Lakini Yesu alikuwa akiwafundisha maandiko ya torati ya Musa pamoja na mila nyingine za Musa, je yakuvua viatu haikuwepo?
Upo sahihi Musa hakuwa mkiristo
Je alikuwa dini gani?
Dini ya kukata viuno na kuimba kwenye nyumba zao za ibada.
Unataka wavue viatu vyao vya bei ya ghali ili waibiwe na vijana wa ki Al shabab au?Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?
Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.
Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."
Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.
Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)
Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.
Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Tuambie wewe,mussa alikuwa Dini gani?Nimekupata,
Simple answer: Musa hakuwa mkristo ndio maana wakiristo hawatakiwi kuvua viatu kanisani
kumbe kama ni hivyo,hata nguruwe akiingia tumboni hawi najisiMkuu kitu kilichopo ndani ya mwili sio najisi mf. Mkojo ukiwa kwenye kibofu chake sio najisi ila ukitoka nje ni najisi
kwa hiyo nyie mungu wenu anawapa zawadi ya quumer.Mwanaume rijali lazima apende wanawake bikra. Kazi kwenu mnaoambiwa mnakata viuno na kuimba mwanzo mwisho kama Diamond.
nyie mungu wenu anawapa zawadi yaMakafiri si mmeahidiwa mtaimba na kukata viuno? Naona imekuuma sana😄😄😄. Chuki imekujaa mpaka unaona wivu kobazi kupata bikra 72. Soma mathew 19 29 kuna wanaopata wake 100 ila hawajasema kama bikra.
wewe wafate warabu kugonoka,kuinama na mengine yoteIla Yesu mnaemfata alivua viatu kabla ya kuingia kwenye sehemu ya ibada... sasa kama yeye licha ya kujua usafi n nafsi na sio mwili mbona alivua viatu??
Yani Mungu wako mwenyew kavua viatu alipoenda kumuomba Mungu wake, wewe mkerewe unagoma kuvua,,,, aliyekuandikia hicho kitabu pia kavua viatu, wewe mletewaji hutaki kuvua
Kama sio Bangi n nn😂😂😂
Taifa teule takatifu la Mungu wako ambao n watoto wa Mungu wako (Israel)
Wanavua viatu.... wewe Babu yako muabudu miti, ukaja na Sheria zako hutaki kuvua viatu
Walokole bhana🚶
wewe wafate warabu kugonoka,kuinama na mengineIla Yesu mnaemfata alivua viatu kabla ya kuingia kwenye sehemu ya ibada... sasa kama yeye licha ya kujua usafi n nafsi na sio mwili mbona alivua viatu??
Yani Mungu wako mwenyew kavua viatu alipoenda kumuomba Mungu wake, wewe mkerewe unagoma kuvua,,,, aliyekuandikia hicho kitabu pia kavua viatu, wewe mletewaji hutaki kuvua
Kama sio Bangi n nn😂😂😂
Taifa teule takatifu la Mungu wako ambao n watoto wa Mungu wako (Israel)
Wanavua viatu.... wewe Babu yako muabudu miti, ukaja na Sheria zako hutaki kuvua viatu
Walokole bhana🚶
Unataka tuibiwe na vijana wa Kiislam wale washindao nje chini ya miembe wakiangalia nani anaingia nani anatoka?Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?
Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.
Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."
Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.
Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)
Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.
Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Zaburi 95:6... "Njooni tusujudu na kumwabudu, tumpigie magoti Mwenyezi Mungu, muumba wetu...."wewe wafate warabu kugonoka,kuinama na mengine
Wakristo wanao mwamini Yesu wanaish Kwa Imani wakati Musa alikuwa na Torati kama Madhehebu haya ya sasa toka Mashariki ya Kati na Wa-saa baaatoo.Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo?
Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu imetajwa wazi na Mungu mwenyewe:
“Maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu.” Ardhi ile ilikuwa takatifu kwa sababu ya uwepo wa Mungu. Nyakati hizo viatu vilionekana kuwa na uchafu kwa sababu ya kutembea juu ya mavumbi, tope, na uchafu wa kila aina. Kwa hiyo, kuvua viatu kilikuwa ni kitendo cha kujitakasa.
Labda unajiuliza tena: kanisani si kuna uwepo wa Mungu? Kama ndivyo kwanini Wakristo hawavui viatu? Ni kweli, kanisani kuna uwepo wa Mungu. Lakini katika Agano Jipya Mungu hakai mahali maalum tu. Anakaa ndani ya kila aaminiye. Yesu anasema katika Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula naye, naye atakula pamoja nami."
Ili Yesu (ambaye ni Mungu) aingie na kukaa ndani yetu, ni lazima kwanza tuyavue matendo ya giza (Warumi 13:12). Kwa hiyo katika Agano Jipya, utakatifu unaonyeshwa siyo kwa kuvua viatu, bali kwa kuvua tabia za dhambi na kuvaa utakatifu wa moyo.
Ndiyo sababu tunaambiwa “Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu.” (Mathayo 5:8)
Katika 1 Kor 6:19 tunajifunza pia kwamba hekalu la Mungu sio la matofali na mawe, miili yetu ndiyo hekalu la Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Ili aingie ndani yetu ni lazima mioyo yetu iwe safi. Hii ina maana kwamba utakatifu sasa unahusiana zaidi na moyo wa mtu, sio ardhi anayokanyaga au viatu anavyovaa.
Kwa maneno mengine, katika Agano Jipya, kuvua viatu hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu. Mtu ambaye hajavua matendo ya dhambi, akivua viatu kabla ya kuingia kanisani, bado tu saa ya kutoka kanisani atavaa viatu na kuitumia miguu yake kwenda kuiba, kufanya uzinzi, kulewa, na kufanya dhambi nyingine.
Musa hakuwaambia wavue viatu lakini mwenyewe alivua je haiwezekani kufundishana matendo aliyofanya Musa mpaka aseme?Naona umeamua kutokuelewa.
Ukisoma juu hili swal nilishajibu zaidya mara 3.
Nakujibu kwa kukuuliza swali pengine ndio utaelewa.
Ni wap kwenye Torati pameandikwa vua viatu ukiingia hemani kwa Mungu?.
Ni wap Mungu alinena na Mussa akamuambia awaambie watu kuwa wanatakiwa wavue viatu wakiwa wanasali.?
Jibu ni kuwa Hakuna sehemu yoyote haya maagizo yametolewa.
Hapo hamna hoja ya moja kwa moja inayoonesha Musa alikuwa dini ganiKuhusu hoja kuwa Mussa alikuwa Muislamu au Mkristo au Je alikuwa Dini gani.
Tafakari hili andiko kwanza.
Kutoka 3. 13-15
"Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?
14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote. "
Dini ya kiyahudi ni dini ganiAlaf na hili la mwisho
Kutoka 2: 11-13
"Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake.
12 Basi akatazama huko na huko, na alipoona ya kuwa hapana mtu, akampiga Mmisri yule, akamficha ndani ya mchanga.
13 Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako? "
Mussa alikuwa Muebrania. (Moja ya koo za Kiyahudi) wajukuu wa Yakobo.
Tunaona baadae baada Ya Mussa kupewa Torat. Ndio wakaanzisha dini ya Kiyahudi. Yenye misingi na tamadani ambazo Mungu alizishusha kupitia Mussa na Haruni.
Kwahiyo kabla ya hapo. Hakukuwa na Dini ya Kiyahudi .
Mussa ndio muanzilishi wa Dini ya Kiyahudi.
Dini ya kiyahudi ni dini gani
Soma hapa Qur'an 10:84 na 2:134Tuambie wewe,mussa alikuwa Dini gani?