Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Acheni upumbavu waislamu tukileta picha za mfalme wa Saudi Arabia akiwa anasali na viatu mnabadilisha gia mnasema ili mradi tu viwe sasa kama inabidi viwe visafi mnavua vya nini?
Kwani nani kasema hairuhusiwi kuswali na viatu?
 
Qur’an mara zote huonyesha Uyahudi na ukristo ni dini ila sio dini sahihi

Sawia. Umesema vyema.
Na inafahamika hivyo.

Ila kwakuwa sisi wakristo hatuitambui Quran wala Mohamed.

Yenyewe iseme au isiseme sio Hoja kwa wakristo.
 
Kwahiyo inawezekana mtu mmoja akawa na dini mbili?
Hapana haiwezekani.

Mtu ana dini moja.

Hoja yangu ni kuwa Mafundisho ya Dini ya Kiyahudi yako kwenye agano la kale. Yesu hakuja kulitengua ila alikuja kulikamilisha. Hivyo agano jipya ni Injili ambayo imekuja kuendeleza lile agano la kale.

Hivyo wakristo wanakuwa wakristo kwa sababu ya kufuata amri ya Yesu.

Kumfuata yeye ambaye pia aliheshimu Torati inafanya Direct na Wakristo waheshimu torati na sio kwamba wawe na dini mbili.
 
Sawia. Umesema vyema.
Na inafahamika hivyo.

Ila kwakuwa sisi wakristo hatuitambui Quran wala Mohamed.

Yenyewe iseme au isiseme sio Hoja kwa wakristo.
Halafu wewe si ndo ulisema eti kwa mujibu wa Qur’an siku ya kiama atarudi yesu tu na Mtume Muhammad hatorudi 😃
 
Hapana haiwezekani.

Mtu ana dini moja.

Hoja yangu ni kuwa Mafundisho ya Dini ya Kiyahudi yako kwenye agano la kale. Yesu hakuja kulitengua ila alikuja kulikamilisha. Hivyo agano jipya ni Injili ambayo imekuja kuendeleza lile agano la kale.

Hivyo wakristo wanakuwa wakristo kwa sababu ya kufuata amri ya Yesu.

Kumfuata yeye ambaye pia aliheshimu Torati inafanya Direct na Wakristo waheshimu torati na sio kwamba wawe na dini mbili.
Yesu alikuwa mkiristo au Myahudi?
 
Sasa kwa nini uliinukuu ili kujenga hoja yako 😃😀😄

Wakristo wanafurah kuona Quran inaitambua kuwa Yesu ni mkuu.
"Quran 3:59 -
"Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa."...

Kwahiyo ni Adam na Yesu tu ndio wameumbwa.
Wengne wamezaliwa.

Sasa kama inasema tunayemfuata huyo Yesu sio Dini ya kweli.
Basi inshallah.
 
Halafu wewe si ndo ulisema eti kwa mujibu wa Qur’an siku ya kiama atarudi yesu tu na Mtume Muhammad hatorudi 😃

Ndio Kuran inasema hivyo.
Nabii atakayerud ni Nabii Issa kuja kupigana na Dajjal.

Biblia pia inasema atarudi.
 
Wakristo wanafurah kuona Quran inaitambua kuwa Yesu ni mkuu.
"Quran 3:59 -
"Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa."...

Kwahiyo ni Adam na Yesu tu ndio wameumbwa.
Wengne wamezaliwa.

Sasa kama inasema tunayemfuata huyo Yesu sio Dini ya kweli.
Basi inshallah.
Kwa hiyo kwa kusema hivyo Qur'an umeiamini kuwa ni kitabu cha Mungu? Au bado
 
Yesu alikuwa mkiristo au Myahudi?

Yesu alikuwa myahud kwa kuzaliwa na Myahudi kwa dini.
Alibatizwa kama Myahudi Dini.
Aliingia sinagogi.

Ila Aliamuru kuwa mataifa yamfuate yeye kwakuwa ndio njia ya Uzima na hakuna mtu anaweza kwenda Mbingun bila kupitia yeye.

Kumbuka pia. Yakobo hakuwa na dini.
Ibrahim hakuwa na dini.
Isaka hakuwa na dini.

Uyahudi umeanzishwa na Mussa.
 
Mbaya zaidi Qur’an imasema watu wote wameumbwa 😃
 
Yesu alikuwa myahud kwa kuzaliwa na Myahudi kwa dini.
Alibatizwa kama Myahudi Dini.
Aliingia sinagogi.

Ila Aliamuru kuwa mataifa yamfuate yeye kwakuwa ndio njia ya Uzima na hakuna mtu anaweza kwenda Mbingun bila kupitia yeye.

Kumbuka pia. Yakobo hakuwa na dini.
Ibrahim hakuwa na dini.
Isaka hakuwa na dini.

Uyahudi umeanzishwa na Mussa.
Twende taratibu Yesu alikuwa Myahudi kwahiyo akawaamuru wanafunzi wake wawe wakiristo?
 
Kwa hiyo kwa kusema hivyo Qur'an umeiamini kuwa ni kitabu cha Mungu? Au bado

Siiamini kwasababu imechukua maneno ya Kutoja Kitabu cha Injili.

Ni sawa mm sasahiv nichukue hadithi za biblia. Za kipagani nk na kuunda kitabu changu ambacho kinasema Yesu atarudi na kuambia watu wakiamini.

Bila shaka, hawatakiamini.

Hivyo hivyo mm siamini Quran kwa sababu ni Kitabu ambacho hakijajitegemea na kuwa na Misingi yake.
Imecopy na kupaste.
 
Back
Top Bottom