Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Unipe andiko lenye ushahidi wa kihistoria kuhusu hivyo vitabu vya awali vikwapi ?
Usijichanganye lile suala la vitabu tunalizungumzia kwenye sehem nyingine hapa nilijibu pale wewe ulivyosema kuwa suala la dini kaleta Muhammad au umesahau 😃
 
kwani Mohammad hajaleta uslam hivi unajua unacho kiongea.

Ok, Muhammad ameleta dini jibu ni ndio: ambao ni uislam na inaushahidi wa kihistoria pia.

Jibu swali langu au kama huna jibu tufunge huu mjadara mimi sio mbumbumbu, nipe ushihidi wa kihistoria wa manabii wa zamani kuwa na vitabu tofauti tofauti na sasa vikwapi ?
 
Qur’an kwangu ndo ushahidi bora kuliko ushahidi wa wanadamu
Vipi kama ni uongo itakuwaje sasa ? mtu smart aliyeko kwenye njia sahihi anakuwa na ushahidi ni wazi hujui unachokiamini unafuata tu mkumbo.
 
Uislam ulikuwepo ila watu/ummah wa Muhamad walikuwa hawaufuati walikuwa wanaabudu masanam na miungu watu Muhammad ni mjumbe wa Mungu alietumwa kwa umma wake kuwaambia waache hizo mila na kumuabudu Mungu mmoja kama alivyoambiwa, Daudi, Musa na Isa(Yesu) vile vile walikuwepo manabii wengine waliotumwa na Mungu katika kaum/umma/watu wao kama Yusuf, Yakuub/Yakobo na wengine wengi
Kwamba Yakobo, Yusuph, Suleman walikua waislam? Uislamu upi huo, mbona hawakujenga misikiti zaidi ya mahekalu na masinagogi yao ya kiyahudi
 
kwani Mohammad hajaleta uslam hivi unajua unacho kiongea.

Ok, Muhammad ameleta dini jibu ni ndio: ambao ni uislam na inaushahidi wa kihistoria pia.

Jibu swali langu au kama huna jibu tufunge huu mjadara mimi sio mbumbumbu, nipe ushihidi wa kihistoria wa manabii wa zamani kuwa na vitabu tofauti tofauti na sasa vikwapi ?
Basi utakua umeingilia mjadala usiouelewa maana sisi tulikuwa tunajadili yesu alikuwa dini gani ambapo mwenzio mmoja alikuwa anasema hakuwa na dini na mwenzio mwingine alikuwa anasema alikuwa myahudi ndo mara ukaibuka wewe na kusema Muhammad ndo ameleta suala la dini nami nikakuuliza kwa hiyo kabla yake hakukuwa na dini?
 
Muhammad hakuleta dini ila alikuwa mjumbe wa Mungu kuwafikishia Ummah/watu wake juu ya Mungu wa kweli na dini ya haki miongoni mwa miungu yote na dini zote
 
hakuna ushahidi kuwa kulikuwa na dini kama hivi leo kama vile uislam, usabato, ukatoriki, ulokole havikuwepo, yesu aliwaambia watu nifuateni na hakuanzisha brand yoyote.

Suala la udini amekuja nalo baadae Muhammad na manabii wengine wengi basda yake kama wakina mwamposa n.k
 
Qur’an kwangu ndo ushahidi bora kuliko ushahidi wa wanadamu

Kabla ya kushuka Quran.
Yemyewe Quram inasema kuwa kuna Injili na Torati (wanaviita vitabu au watu wa vitabu).

Je wenye hivyo vitabu hawakuwa na dini?.
 
Muhammad hakuleta dini ila alikuwa mjumbe wa Mungu kuwafikishia Ummah/watu wake juu ya Mungu wa kweli na dini ya haki miongoni mwa miungu yote na dini zote
Mjumbe wa mungu ushahidi unao ? kuwa ni kweli vipi kama ni washetani utabisha.
 
Back
Top Bottom