Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

Msingi unaomaanisha hapa ni wa nyumba au wa aina gani maana kiongozi hapo juu kamaanisha nyumba ya ibada

Sio mising ya nyumba.

Mfano naweza kusema Mising ya Uislam iko kwenye nguzo 5.

Msingi wa Dini ya Kiyahud iko kwenye Kuishika Torat.
 
Bado tu unaongelea vitu ambavyo havipo hakuna dini ya kiyahudi na suala la nguzo tano halieleweki halina msingi wala historia yani hapo ndio ulivyo kalilishwa.

Mda mwengine nafikiri naongea na mtu mwenye akili kumbe amnazo.
 
Nina hakika 100% hunishind kwa chochote kuanzia kwenye akili na +
 
Sio mising ya nyumba.

Mfano naweza kusema Mising ya Uislam iko kwenye nguzo 5.

Msingi wa Dini ya Kiyahud iko kwenye Kuishika Torat.
Kwa hapo nakubaliana nawewe dini haihitaji majengo sijui kanisa au msikiti sio kweli

Kuwepo kwa kitabu tu ambacho ndani yake kuna sheria za Mungu na utaratibu wa maisha inatosha kabisa kutafsirika kuwa ni dini
 
Kwani wewe unafuata Google au maandiko nimeomba andiko kama unazungumzia Google basi upo sahihi kusema musa alianzisha dini asante sana close
Sin ni ww nilikuwekea andiko la Kuhani. Hukulielewa?.
 
Back
Top Bottom