Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Sawa asante sana tumalize hapaSin ni ww nilikuwekea andiko la Kuhani. Hukulielewa?.
Sawa asante sana tumalize hapaSin ni ww nilikuwekea andiko la Kuhani. Hukulielewa?.
Sawa sawaSio mungu ni Mungu.
Nishajua shida iko wap.
Uelewa tunapishana.
Tumalize kwa kukumbusha pia kuwa Yesu alibatizwa.Sawa asante sana tumalize hapa
Wewe ndio mwenye shida mkuu hoja inapingwa kwa hoja leta andiko linalothibitisha Yesu hakuwa na dini maana yeye kaleta la kwake tumelionaBado tu unaongelea vitu ambavyo havipo hakuna dini ya kiyahudi na suala la nguzo tano halieleweki halina msingi wala historia yani hapo ndio ulivyo kalilishwa.
Mda mwengine nafikiri naongea na mtu mwenye akili kumbe amnazo.
Dogo sijui unajua unacho ongea hebu tufunge huu mjadara, yesu hakuanzisha dini kulingana na maandiko, vipi mtu leo akija na dini yake tutahesabu ni ya yesu yule ambaye maandiko hayaja elezea kuanzisha dini ? hivi kichwani zimo kweli?Wewe ndio mwenye shida mkuu hoja inapingwa kwa hoja leta andiko linalothibitisha Yesu hakuwa na dini maana yeye kaleta la kwake tumeliona
Sawa hakuanzisha dini vipi yeye mwenyewe alikuwa na dini au hakuwa na dini? Kwa maana hakuwa mwislam, mkiristo wala Myahudi?Dogo sijui unajua unacho ongea hebu tufunge huu mjadara, yesu hakuanzisha dini kulingana na maandiko, vipi mtu leo akija na dini yake tutahesabu ni ya yesu yule ambaye maandiko hayaja elezea kuanzisha dini ? hivi kichwani zimo kweli?
Dogo sijui unajua unacho ongea hebu tufunge huu mjadara, yesu hakuanzisha dini kulingana na maandiko, vipi mtu leo akija na dini yake tutahesabu ni ya yesu yule ambaye maandiko hayaja elezea kuanzisha dini ? hivi kichwani zimo kweli?
🤣🤣🤣Na Uyahudi ni ukoo wa Yesu siyo Dini walete dini aliyo fundisha Yesu wasilete kona konaSawa basi jadiliana na mwenzio huyo anayesema kuwa yesu dini yake ilikuwa uyahudi ili umueleweshe aelewe vizuri 😃
Bado unarudi tena kusema yesu sio myahudi daaah kazi kweli kweli, yesu alikuwa myahudi kama livyo mfano huyu msikuma, huyu mchaga hivyo yesu alikuwa myahudi.Sawa hakuanzisha dini vipi yeye mwenyewe alikuwa na dini au hakuwa na dini? Kwa maana hakuwa mwislam, mkiristo wala Myahudi?
Daaah, Yesu amekuzwa kwenye dini waliyokuwa walezi wake, si nilishasema hili au?...Haya, sijui kama alikuwa ni mpagani au alikuwa na dini, kama unataka kusema ni Uislamu, pia ni sawa.Kwa maana hiyo Yesu hakuwa na dini
Wame jichanganya hao Yesu hakuanzisha dini mpya na Uyahudi ni ukoo wa Yesu siyo Dini walete dini aliyo ikuta YesuNi mjadala na sio mjadara.
Tupe andiko kuwa Yesu hakuanzisha Dini.
Wote tunajua kuwa Yesu alianzisha Dini.
Na Aliwataka wanafunz wake waende kwenye mataifa na kuwapa watu habar njema na kuwabatiza.
Pitia hapa
Mathayo 16:18
"Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. "
Sasa Utajengaje Kanisa bila dini?.
Watu wa masihi ndio wakristo ambao Hilo kanisa limeanzia.
Duh kiongozi unajua kuzunguuka nilivyoelewa ni kuwa Yesu hakuwa na dini kwa maelezo yako naomba ushahidi sasa wa kimaandiko fikra binafsi achana nazoBado unarudi tena kusema yesu sio myahudi daaah kazi kweli kweli, yesu alikuwa myahudi kama livyo mfano huyu msikuma, huyu mchaga hivyo yesu alikuwa myahudi.
je, kutokuwa na dini kunaweza kukufanya umuabudu mungu ? jibu ni ndio yesu hakuwa kwenye dini yoyote na alipiga magoti kumuabudu mungu na wanafunzi wake walifanya hivyo kwa ukamilifu.
je kuna eneo ambalo linazungumzia dini za yesu au mitume kwenye jibu hakuna andiko hilo.
je, falsafa za udini zimekuja lini, zimekuja baada ya yesu na mitume kuwatokuwako, mfano uislam, ulokole, ukatoriki, usabato n.k
Je, kuna uhusiano wowote wa dini na kumcha mungu jibu hapana tunaweza kumcha mungu kama yesu alivyofanya bila dini.
Je dini ni mungu? jibu hapana
je dini ni wokovu ? jibu ni hapana
je dini ilikuwepo kipindi cha yesu ? jibu hakuna ushahidi wa maandiko
je dini ilianza lini, ilinza baada ya yesu na wanafunzi wake kuwako.
je dini ni muongozo ? hapana muongozi ni maandiko ya mungu.
je, kwahiyo dini ni nini sasa ? dini inaweza kuwa ni falsafa ya kuchanganya watu wasione ukweli haihusiani na mwongozo kwani mwongozo tayari ni maandiko, haihusiani na wokovu kwani wokovu ni mungu mwenyewe yani dini haieleweki ni nini ila kusudi lake sio zuri kwani imeleta mgawanyiko mkubwa kwa wanadamu, huyu ni muislam huyu ni mlokole vitu ambavyo havikuwepo zamani hata kihistoria havipo.
Nafikiri mpaka hapo nime eleweka ?
Ambayo hiyo dini aliyokuzwa humo haikuwa sahihi ndio maana akawaambia wafuasi wake waachane nayo wawe wakiristo? Nipo sahihi au sipo sahihiDaaah, Yesu amekuzwa kwenye dini waliyokuwa walezi wake, si nilishasema hili au?...Haya, sijui kama alikuwa ni mpagani au alikuwa na dini, kama unataka kusema ni Uislamu, pia ni sawa.
Ewaaah hapa ndio akileta hiyo dini nitamuelewa na huenda huu mjadala ukafika mwishoWame jichanganya hao Yesu hakuanzisha dini mpya na Uyahudi ni ukoo wa Yesu siyo Dini walete dini aliyo ikuta Yesu
Hivi Mungu ana dini?Daaah, Yesu amekuzwa kwenye dini waliyokuwa walezi wake, si nilishasema hili au?...Haya, sijui kama alikuwa ni mpagani au alikuwa na dini, kama unataka kusema ni Uislamu, pia ni sawa.
6:163, 39:12Muhammad hakuleta dini ila alikuwa mjumbe wa Mungu kuwafikishia Ummah/watu wake juu ya Mungu wa kweli na dini ya haki miongoni mwa miungu yote na dini zote
Mungu hana diniHivi Mungu ana dini?
Swali lako lina amsha ubongo 🧠 maana haiwezekani Mungu akatuma manabii na Vitabu alafu asiwe na Dini yaani asiwe na utaratibu aliyo uridhiya haiwezekani.Hivi Mungu ana dini?
Ukiristo nao ulianza lini na uliletwa na nani? Naona umetoka kwenye hoja umekuja kwenye propaganda lete na propaganda za Ukiristo6:163, 39:12
Islam imeanza 610 baada ya Yesu, Muhammad akiwa na miaka 40.
- Hili lilitokea karibu na Mecca, akiwa kwenye pango la Hira, mlima wa Jabal an-Nour
Uislamu, kwa mujibu wa wasomi wa kiislamu, rekodi iliyopo ni kuanzia karne ya 7, ambapo pia bado namba zao zinakaata huu ukweli-uongo wao.
Neno Allah, lilitumika na waarabu wengi wasioujua uislamu kabla, na limetoholewa kutoka maneno mengine kala Al-ilah, Alaha, El, Eloah.
- Wanasema baba'ake Muhammad aliitwa Abdullah, kwamba ni mtumishi wa Mungu.
Mwisho kabisa, kama dini ya uislamu haikuanzia kwa Muhammad, ni vipi mama'ake alikuwa kafiri mpaka kifo chake na kwa hilo yuko motoni?
Ukisema hivyo unamaanisha Mungu hana utaratibu au sheria za Ibada zake, kwa hiyo tufanye Ibada asizo elekeza Mungu, basi kusinge kuwa na haja ya kuja Manabii wote wala Vitabu maana visinge kuwa na kazi.Mungu hana dini