Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Chukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Asante sana kaka.
Hapa mtaani kwetu Kuna Mzee ana sukari Kali sana, kakatwa miguu tote, katolewa na jicho. Anauza Mali zake zote. Mpaka sasa ameuza nyumba 19, anasema hataki mtoto wake arithi hata kijiko kwani maagano aliyoyaingia hataki yawatese wanawe
 
😂 haya anza kufanya sensa hapo mtaan kwenu... Kati ya wakristo na waislam nan wana maisha mazuri...? Ni sawa ujivunie utajiri wa mume wa dada zako wakat ukoo wenu wote masikini, hivyo ndivyo unamaanisha Billionaire wa Tz wengi waislam ila waislam wengi ni masikin wa kutupwa wanalala misikitini wakicheza karata bao na kunywa alkasus huku wakisubiri kupewa mikate na matajiri...
 
Umesahau na SIMIYU na KATAVI !!!
 
kwani maagano aliyoyaingia hataki yawatese wanawe[emoji3064]

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Njooni muone wafia dini wa africa wanavyojifariji KWA vifungu vya vitabu vilivyotumika kuwatia babu zao utumwani, .

Wakijifanya wanaijua dini kuliko waliowaletea
Maamuma kweli wewe. Wakristo akina Wilberforce ndio walipambana babu zako unaowasema wakawa huru na utumwa ukakoma. Hao walisukumwa na hicho kitabu unachokiponda. Ndio uipime akili ya kuhadithiwa!
 
Unaongelea wakristo gani wewe
Halisi
Au bandia
Ila ukisema wakristo wote
Mimi nitakujibu wakristo wengi ndo matajiri wakubwa kuliko waislam au dini yeyote
Ukienda kwenye list ya matajiri wa ulimwengu wengi wana toka katika dini ya kikristo yaani Roman Catholic Na orthodox christian

Kwanza ni kupe tofauti ya Wakristo bandia na Wakristo halisi
Wakristo bandia ni wale wanao kwenda makanisani na kusikia maubiri ya Mungu alafu matendo yao ni tofauti na imani ya kikristo

Wakristo halisi ni wale wenye kusikia neno na kulishika

Hawa halisi sio kwamba sio matajiri
Ni matajiri bali sio wapenda sifa kama hawa bandia na wengine
 
Baseless thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…