Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Kweli ehh?Unaujua utajiri wewe. Mambo tuyoyatenda tunayajua wenyewe. Wakristo wengi roho zao nyepesi mno. Hawawezi hata kumpiga mtu tukio la kibabe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ehh?Unaujua utajiri wewe. Mambo tuyoyatenda tunayajua wenyewe. Wakristo wengi roho zao nyepesi mno. Hawawezi hata kumpiga mtu tukio la kibabe.
ChukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUsemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;
Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza easier matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida
Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Asante sana kaka.Kaka mkubwa with all due respect hawa matajiri makubwa ni mabinafsi na machoyo sana na ndio yaliyotajwa kwenye Bible kuwa ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko wao kuurithi ufalme wa Mungu
Haya matajari makubwa hayatengezi network ya wengi wapate hivyo hujikusanyia mpaka kile cha fukara wa mwisho
Hawa wengine wasioingia kwenye network ya ukwasi wa dunia wana utajiri wa mtandao kuanzia familia, ndugu mpaka watu baki na ndio furaha yao kuona 'wote tunapata'!
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
ujinga huo.Mkristo hatakiwi kuwa tajiri wa mali, anatakiwa kuwa tajiri wa rohoni.
uongo.Matajiri wengi wa kikristo hawapendagi kujionyesha Kama Ali Kiba vile.
Umesahau na SIMIYU na KATAVI !!!Haja ya Wakristo wote ni kuuona Ufalme wa Mungu, sasa kama Biblia imetuambia ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko TAJIRI kuuona Ufalme wa Mungu, wewe unategemea nani anapenda kuwa "Tajiri"? that is not so necessary but the truth is:
Gap kati ya TAJIRI na Maskini ni kubwa zaidi kwa hizo dini nyingine ulizo mention ukilinganisha na Wakristo, kama huamini angalia hapa Tanzania, maeneo ambayo wakazi wake majority ni Wakristo nenda ukalinganishe na maeneo ambayo majority ni Waislam, nenda Lindi na Pwani vijijini uangalie maisha wanayoishi, halafu nenda ukalinganishe na maisha wanayoishi kule Bukoba, au Moshi au Mbeya utapata jibu kwamba ni bora kwenye population majority wakaishi maisha ya wastani, kuliko kuwa na Matajiri wakubwa top 10 halafu common wananchi wote majority wanaishi kwenye vibanda na nyumba za nyasi.
Hata hapo Dar es Salaam, fanya utafiti wakazi wengi wa Buguruni, Temeke na Mbagala, halafu nenda ukalinganishe na wakazi wa Tabata, Mbezi na Kimara utapata majibu yako!
Tuma salamu kwa watu watatu tafadhali.uongo.
kwani maagano aliyoyaingia hataki yawatese wanawe[emoji3064]Asante sana kaka.
Hapa mtaani kwetu Kuna Mzee ana sukari Kali sana, kakatwa miguu tote, katolewa na jicho. Anauza Mali zake zote. Mpaka sasa ameuza nyumba 19, anasema hataki mtoto wake arithi hata kijiko kwani maagano aliyoyaingia hataki yawatese wanawe
Maamuma kweli wewe. Wakristo akina Wilberforce ndio walipambana babu zako unaowasema wakawa huru na utumwa ukakoma. Hao walisukumwa na hicho kitabu unachokiponda. Ndio uipime akili ya kuhadithiwa!Njooni muone wafia dini wa africa wanavyojifariji KWA vifungu vya vitabu vilivyotumika kuwatia babu zao utumwani, .
Wakijifanya wanaijua dini kuliko waliowaletea
Baseless threadKwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.
Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.
Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.
Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.
Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.
Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?
Ni wapi wanapokosea?
Inaonekana hawajui kina Hans Macha na Ernest Massawewakina Davis Mosha Freeman mbowe ni waislam mkuu