Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Hapa ndio akili zenu zilipoishia, sishangai kesi ya daimond kufyatua video kanisani mkamlaumu yeye na kuwaacha waliomruhusu
Hoja upingwa Kwa Hoja.Hapa umeleta kioja badala ya hoja

Wapi nimetajwa diamond na kanisa Hadi uniquote hivyo?
 
Mkristo= mwanadamu.
Muislam= mwanadamu.
 
Warren Bufet
Carlos slim
John Rockerfeller
Donald Trump
Na wanahudhuria Kanisani

Hawanywi Pombe wala kuvuta sigara
Wote hawa ni wakristo
 
Tajiri hata urithi ufalme wa mbinguni.
 
Kwasababu hawafugi Majini na hawafanyi Makafara, ila Wamebarikiwa Utajiri mkubwa wa Akili ( Fikra ) Mwenyezi Mungu ndiyo maana 98% ya Waislamu wengi Wamesoma katika Shule, Taasisi na Vyuo Vikuu vya Wakristo hasa wa Roman Catholic.
 
Kuwa masikini si jambo zuri, na kuwa tajiri ni majaliwa ya mungu, kwahiyo jitahidi upate chakula yako ya siku,
Utajiri anatoa mungu
 
Mimi ni muislamu lakini sikubaliani na wewe.

Mwarabu tajiri kuliko wote ni Mkiristo, jina lake anaitwa Nasseff Sawiris ni raia wa Misri. U ca google him
 
Kwani Ukristo ni dini?
 
Usitishe watu. Unaweza kua Tajiri na bado mbinguni ukatoboa na unaweza kua masikini na mbinguni usitoboe. Kua Masikini au Tajiri sio kigezo cha kukutobolesha Mbinguni. Tena masikini ana nafasi finyu ya kutoboa kwa Mungu. Akiri ya masikini walio wengi ni Chuki, Nyongo, Fitina, Uongo, roho mbaya, uchawi na roho ya kisirani.
 

Wakristo hatufeki life
 
1) waislam wengi hawasomi sana,huanza biashara udogoni hivyo kupata muda wa kutosha wa kutajirika

2)Ni rahisi muislam kwenda kwa mganga kubusti biashara na kuweka kings kuliko mkristo. sio kuwa wakristo hawaendi,wamezidiwa.

3)uhusiano wa waislam na Asia ni mkubwa kuliko wakristo na wazungu hivyo kuwa rahisi kwa waislam kupata mtaji
4) Biashara inahitaji ubahili na kutoa toa hela , waislam kipengele hicho wako vizuri kuliko wakristo.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli kabisaaaa
 
History inabeba haya mambo, hivi ulishawahi kuona Mangi ana butcher? mzaramo ana duka? Wachaga wataendelea kufungua maduka, wagogo kuuza nyama na wazaramo kucheza ngoma na kuendelea... Jamii ya kiislamu biashara ni sehemu ya maisha yao enzi na enzi na hasa jamii za Kiarabu, wahindi wana tabia ya kuendeleza walichofanya wazee elimu haijawahi kuwa muhimu sana wanatumia elimu kuongeza chachu kwenye biashara zao ndio wakati wakristo toka enzi elimu na vyeti muhimu kwa Babu alikuwa mwaajiriwa, Baba na Mama mtoto anakuwa anajuwa ndio njia na yeye anataka kuajiriwa inakuwa ndio mafanikio kwenye familia ila wa Asia wao mafanikio ni kuwa na biashara yako tunaigana kizazi na kizazi. Japo hili sio 100% lakini liko hata katika jamii zetu. Kukuta mchaga kaajiriwa unaona sio kawaida, Mgogo kufungua butcher kwao mafanikio, msukuma shamba kubwa mafanikio, Masai mifugo mingi mafanikio, Mhaya kuwa na degree mafanikio, Mkurya kuwa jeshini.... na wengi tu kuna mnyororo fulani katika jamii zetu tunaona ni mafanikio. Wengine kukuza biashara za family kubeba jina ndio mafanikio na ndio tunayaona mitaani. Ila wako wachache wamechukuwa njia tofauti kidogo.
 
Kwani Ukristo ni dini?
Nini kitampelekea mwanadamu kuiona pepo?

Ni kwasababu ya dini yake, au matendo yake?

Tutahesabiwa vipi na mwenyezi MUNGU kuwa ni wenye haki, ni kuishi kwa unyenyekevu, au kuwa upande wa Dini unayoiona ni ya haki?

Majibu tafadhali, kwa faida ya wengi .
 
Kwasababu wanatoa misaada kwa wahitaji kama ilivyo agizwa na Biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…