Ujinga ni mtaji
Alikuja kwa walio wake wala walio wake hawakumtambua
You're the greatest son of our farther!Ni kwasababu ushakuwa indoctrinated toka utotoni.
Mtoa mada inawezekana akawa ni mtu mzima mwenye familia yake. Lakini fikiria hii tu kuwa babu yake enzi za utotoni mwake naye alikuwa akifundishwa kuwa Yesu anarudi.
Babu yake akaja ku pass hayo mafundisho kwa baba yake na mtoa mada kuwa Yesu anarudi.
Baba yake na mtoa mada naye akamzaa huyu mtoa mada kaja kumrithisha mafundisho hayo hayo kuwa Yesu anarudi.
Na huyu mtoa mada pengine tayari kasha warithisha wanae au anatarajia akipata watoto aje kuwaambia kuwa Yesu anarudi.
Umeona mlolongo ulivyokuwa mrefu huo?
Infact ni kitu ambacho sio rahisi kuweza kukiepuka kwasababu kinakufanya uwe emotional zaidi kuliko realistic.
Mfano wa mtu aliyekua affected na indoctrinations hata akipewa hoja bilion zenye logic ili kum-shape arudi kwenye njia sahihi atakupinga tu kwa maneno machache tu kuwa "biblia imeandika hivyo na haiwezi kupotosha"
Kitabu chochote ambacho kimeandika kuwa mtumwa anapaswa kumsujudia slave master je hiyo katika perception ya kawaida haikupi mwangaza kuwa kitabu hicho kimeandikwa na slave master?
Hata kama utakuwa umempa ushahidi kuonesha Biblia imeandikwa na hao waliojipakulia minyama, bado hiyo haitatosha kumuondoa gizani huyo mtu kwasababu ya toxic aliyoipandikizwa tangu akiwa mtoto.
Ujinga kama ujinga ni mtaji, elewa!!!Mjinga ni nani hapo?
Zamani ndio lilikuwa taifa teule kumbuka ahadi ya Mungu Kwa Abraham,badae walimkana Yesu na kumuua japo sio wote,ila mafarisyo na masadukayo ambao waliona ni mpinzan wao,so taifa jipya la kiroho ndio likianzishwa ambalo haitegemei ww ni mtu wa wap,bali uhusiano na Mungu upoje iwe upo Tz,china au brasil
Sasa hivi akirudi ataolewa wala hatawekwa msalabani!Ni wapumbavu tu wanaoamini Israeli taifa la Mungu
Liliwahi kuwa taifa teule lakini wakapoteza hicho kibali baada ya Wayahudi kumkataa na kumuua Yesu
Tatizo Africa tumeamini mizimu ya white men na sio vya kwetu..Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.
Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la Mungu, kwa mujibu wa Ukiristo?
Kwa nini Wakristo hatujaifata dini ya waisraeli kama tunamuabudu Mungu wa israel ?
Tatizo Africa tumeamini mizimu ya white men na sio vya kwetu..
mungu wa israel ni mungu kama miungu mingine. Muuaji, mfitini na asiye na huruma.Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na mafundisho yote ya yesu hawayatambui.
Je, ni kwanamna gani taifa lilokataa Ukiristo likawa taifa la Mungu, kwa mujibu wa Ukiristo?
Kwa nini Wakristo hatujaifata dini ya waisraeli kama tunamuabudu Mungu wa israel ?
mungu wa israel ni mungu kama miungu mingine. Muuaji, mfitini na asiye na huruma.
Mungu muumbaji anawapenda wote aliowumba.
Kwa hoja zipi? Toa hoja nzito kupinga ili tujue kweli wewe unafact tukufate imani yako. Sasa unajaribu kuhamisha uelewa wa watu wenye akili nyingi kwakutumia hoja dhaifu hivi, si Bora uache tuendelee kukuhubiri tu.Ni kwasababu ushakuwa indoctrinated toka utotoni.