mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Boss ni slave master anayekulipa zaidi tu.Sijaelewa
Yani kwamba Boss unataka kumfananisha na slave master?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss ni slave master anayekulipa zaidi tu.Sijaelewa
Yani kwamba Boss unataka kumfananisha na slave master?
Muajiriwa anaweza kuacha kazi, mtumwa hawezi kwasababu ile kwake sio tu kazi bali amemilikiwa.Boss ni slave master anayekulipa zaidi tu.
Hapo kwenye Kumuamini Yesu Kristo na Kubatizwa unakua umeokoka, umeitoa katika Mstari gani?UNABII WA DANIEL 9:27 29 ndyo unaoelezea vizuri wayahudi(israel ) kupokonywa kuwa taifa teule la MUNGU baada ya kumkataa YESU KRISTO na kupewa WATU WA MATAIFA yani kila anayemwani KRISTO NA KUBATIZWA ameokoka.INJILI IPO KWA KILA MTU ila ilipaswa kuhubiriwa israel kwanza kwakuwa wameikataa basi imegeuzwa kwa watu wa mataifa mengine
Waisraeli walikuwepo tangu wakati wa Yesu, na wapo waliomwamini na kumfuata. Aidha, uwepo wa taifa la Israeli haukuanzia 1948!Hao ndy wale wazungu waliojipenyeza huko Jerusalem.
Na sio pure Jews.
Ok sawa kijana, uko vizuri kwa ujenzi wa hoja, lkn chunga sana maana watu wa fact walimkosa Mungu. Yesu anasema "nakushukuru Mungu kwakuwa neno hili umewafunulia masikini". Kutumia neno YUPO isikutishe sana maana tayari nimeshahakiki kwamba yupo. Alafu akili yangu haipo kuchunguza makosa yauandishi ikiwa nitatambua kwamba msomaji lazima atapata mantiki.kikubwa tujadili hoja husika. Inasikitisha kuona mjenzi mzuri wa hoja Kama wewe kutetea Jambo lisilo na maslahi kwa maisha ya wengi. Hakuna unalopata zaidi yakushusha imani za wengi, heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini. Kumbuka bila imani hizi za dini dunia haiwezi kuwa mahala salama pakuishi.Katika research ya jambo usilolifahamu huwezi kuanza na start point yenye bias.
Neno "kitu" au "nini" ni start point linalokupa uwanja mpana wa kiufumbuzi kuweza kupata majibu sahihi kwasababu hayajifungi kwenye eneo moja.
Baada ya research ndio unaweza kupata data zinazokufikisha kwenye "yupo"
Kupitia "nini" na "kitu" unaweza kupata "nani" kwasababu ni maneno ambayo yame generalize vitu vyote, ila ukitumia nani utaishia ku-stick kwenye sehemu ndogo kwasababu ni neno liko fixed eneo dogo.
Kwa hiyo nikirudi kwenye kauli yako kuwa neno "yupo" ni kauli ya kiswahili inayowakilisha uhai bado nitatia shaka knowledge yako ya kiswahili.
Nikisema Hospitali ya Temeke pale Mochwari yupo marehemu aliyekufa kwa ajali jana. So kwa mujibu wa kiswahili chako ni kuwa hiyo statement itaonesha uhai wa marehemu?
Halafu kitu kingine uhai haupimwi tu kwa watu hata vitu pia vina uhai, miti, mimea navyo pia vina uhai.
Sasa unapotaja miti unaweza kutumia reference ya neno "yupo" kwasababu mti una uhai?
Thibitisha Mungu na Yesu wapoOk sawa kijana, uko vizuri kwa ujenzi wa hoja, lkn chunga sana maana watu wa fact walimkosa Mungu. Yesu anasema "nakushukuru Mungu kwakuwa neno hili umewafunulia masikini". Kutumia neno YUPO isikutishe sana maana tayari nimeshahakiki kwamba yupo. Alafu akili yangu haipo kuchunguza makosa yauandishi ikiwa nitatambua kwamba msomaji lazima atapata mantiki.kikubwa tujadili hoja husika. Inasikitisha kuona mjenzi mzuri wa hoja Kama wewe kutetea Jambo lisilo na maslahi kwa maisha ya wengi. Hakuna unalopata zaidi yakushusha imani za wengi, heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini. Kumbuka bila imani hizi za dini dunia haiwezi kuwa mahala salama pakuishi.
Swali gumu kulijibu kwa vile linakinzana na hurka, utashi, mamboleo na mantiki!Mbona mpaka leo hii wa israel kizazi cha leo hawamtambui Yesu wala dini ya ukristo?
Kuliishi neno lake na kufata sheria zake Ni uthibitisho tosha kwamba yesu yupo. Kingine labda kufunga na kuomba japo njia hii huwa Mara chache kajidhihirisha. Onyo! Isiwe kwakumjaribu.Thibitisha Mungu na Yesu wapo
Kwasababu hata mimi naweza kuja na masimulizi ya Unicorn hapa nikayasimulia kama yalivyoaandikwa lakini haina maana kuwa yana uhalisia
indoctrinations inaweza kuondolewa kwa hoja mbadala zenye ushawishi, mashiko na zilizojengwa kwa mantiki.Mimi sipo hapa kutafuta wafuasi wakunifuata kwenye imani yangu kwasababu sipo kwenye kifungo cha imani kama nyinyi.
Ukishakuwa indoctrinated hata upewe hoja nzito hautaijua kwasababu ubongo wako tayari ushakuwa toxic na vitu vya kufikirika.
Mchungaji Mackienz aliuwa watu zaidi ya 20 kwa njaa kwasababu ya imani, na hata wale waliobahatika kuokolewa na serikali walipofikishwa sehemu salama waligoma kula chakula kwa kuendelea kuamini kile walichoambiwa na mchungaji wao.
Mpaka hapo umeona jinsi ilivyokua ngumu kumtoa mtu kwenye kifungo cha imani, then how come ufikiri hoja nzito peke yake zinatosha ku change mindset ya mtu?
Unapataje guts za kudai ni neno lake kwenye jambo ambalo bado hujalifanyia tafiti?Kuliishi neno lake na kufata sheria zake Ni uthibitisho tosha kwamba yesu yupo. Kingine labda kufunga na kuomba japo njia hii huwa Mara chache kajidhihirisha. Onyo! Isiwe kwakumjaribu.
Heavily indoctrinated religious people kimsingi ni ngumu sana kudili nao kwasababu ubongo wao unakuwa tayari umebadilika na watafanya kila kitu kutetea irrational beliefs.indoctrinations inaweza kuondolewa kwa hoja mbadala zenye ushawishi, mashiko na zilizojengwa kwa mantiki.
Vinginevyo unabaki kuwa mateka wa propanga potofu za mamboleo zinazojengwa kwa kuzingatia zaidi maslahi ya kidunia.
Una ushahidi? Alikuja kweliAlikuja kwa walio wake wala walio wake hawakumtambua
Kwahiyo unaamini Kama kuwatoa watoto kafara Ni kosa? Kivipi Ni kosa. Kama mtu Fulani mwenye power aliandika ninachoamini basi anafaa kuzingatiwa sana maana sio wakawaida huyo.Unapataje guts za kudai ni neno lake kwenye jambo ambalo bado hujalifanyia tafiti?
Kufata sheria sio uthibitisho kuwa kitu fulani kipo.
Sheria inaweza kuwepo tu kwasababu mtu fulani mwenye power kataka iwe hivyo.
Kuna jamii ya Aztec ilikuwa ina abudu Mungu wa mvua ambapo kulikuwa na miongozo na sheria za kuzifuata ili kwenda sawa na yeye.
Watu wa jamii hiyo waliamini mafuriko yanatokana kwasababu ya hasira za huyo Mungu wao na namna pekee ya kutuliza hasira yake ni kutoa kafara ya watoto bikra.
Sasa kwasababu kuua watoto wadogo ni sehemu ya sheria ya huyo Mungu, je hiyo inafanya huyo Mungu mvua awepo??
Ni stress kudhani hakuna Mungu, sababu amani ya moyo usioamini Mungu inaleta uadui kati ya mtu na nafsi yake.Heavily indoctrinated religious people kimsingi ni ngumu sana kudili nao kwasababu ubongo wao unakuwa tayari umebadilika na watafanya kila kitu kutetea irrational beliefs.
Usitoke nje ya keyKwahiyo unaamini Kama kuwatoa watoto kafara Ni kosa? Kivipi Ni kosa. Kama mtu Fulani mwenye power aliandika ninachoamini basi anafaa kuzingatiwa sana maana sio wakawaida huyo.
Usitoke nje ya key
Thibitisha Mungu na Yesu wapo
Unajua ndugu, wewe tayari unafikra tofauti juu ya uthibitisho wa Mungu na yesu hivyo kilichokufanya kutokuamini ndicho kinachokuongoza kwa Sasa. Zaidi tu nikukuhimiza kutafakari kwakina maneno matakatifu huenda ukapata neema. Maana sidhani Kama takuwa na maneno mazuri kuzidi Yale yaliyo ndani ya imani yangu na ambayo yananiongoza Mimi kwa Sasa. Au basi namwomba Mungu aingilie Kati labda kwakukutokea Kama alivyotokewa Paulo mtume. Nakusihi usisubiri Hilo kwani Ni wachache wanaopata neema hiyo.Usitoke nje ya key
Thibitisha Mungu na Yesu wapo