Kwanini wakristo tunaamini Israel ni taifa la Mungu wetu huku Waisrael hawamuamini Yesu wala dini ya ukristo?

Mtiririko wa ujumbe wa biblia kwa ujumla Ni wakina sana na umekamilika kujibu maswali yote ambayo mwanadamu anaweza kujiuliza kuhusu maisha na chanzo chake. Biblia imefaulu kwa msingi wake wa imani kutibu fikra dhaifu kuwa zenye nguvu. Binafsi Kuna wakati nilianza kuwaaminisha watu kwamba tatizo la kifo litatatuliwa na mwanadamu mwenyewe kwakutoa hoja na mifano thabiti. Lkn kumbe nilikuwa mjinga Mimi, kwakuwa sikuwa nimeisoma biblia vizuri. Nilichukua hatua kuichimba vizuri nakubaini ukweli. Kilichfata Ni toba kwakupotosha wengi. Hata Hawa ambao wanapinga kuhusu yesu na biblia, wengi wao hawaijui kabisa Wala hawajui maudhui yaliyomo. Hawajui kwakina Ni namna gani yesu aliukomboa ulimwengu. Hawajitambui pia, Wala hawazihurumii nafsi zao. Kama wameshindwa kuzihurumia nafsi zao, wanawezaje kumuhurumia yesu kwakazi nzito yakuutoa uhai wake kwaajili ya nafsi zao? Ni wachache sana wanaoijua njia maana mwili huu uko connected na dhambi ilivyo ngumu kuishi kinyume na takwa la mwili. Neema ndio jibu. Tukisema wayahudi wote hawamjui yesu Ni uongo. Kwani neno la injili lilitoka wapi? Ni kwa baadhi yao waliobahatika kuijua kweli.
 
Kwa hoja zipi? Toa hoja nzito kupinga ili tujue kweli wewe unafact tukufate imani yako. Sasa unajaribu kuhamisha uelewa wa watu wenye akili nyingi kwakutumia hoja dhaifu hivi, si Bora uache tuendelee kukuhubiri tu.
Mimi sipo hapa kutafuta wafuasi wakunifuata kwenye imani yangu kwasababu sipo kwenye kifungo cha imani kama nyinyi.

Ukishakuwa indoctrinated hata upewe hoja nzito hautaijua kwasababu ubongo wako tayari ushakuwa toxic na vitu vya kufikirika.

Mchungaji Mackienz aliuwa watu zaidi ya 20 kwa njaa kwasababu ya imani, na hata wale waliobahatika kuokolewa na serikali walipofikishwa sehemu salama waligoma kula chakula kwa kuendelea kuamini kile walichoambiwa na mchungaji wao.

Mpaka hapo umeona jinsi ilivyokua ngumu kumtoa mtu kwenye kifungo cha imani, then how come ufikiri hoja nzito peke yake zinatosha ku change mindset ya mtu?
 
Ukute wewe ni muislam tena swala tano
 
Afadhali mchungaji mackienz aliweza kushawishi watu 200 kuliko ushawishi wa hoja zako, huwezi washawishi hata mbumbumbu watatu.
 
Afadhali mchungaji mackienz aliweza kushawishi watu 200 kuliko ushawishi wa hoja zako, huwezi washawishi hata mbumbumbu watatu.
Ni kwasababu kushawishi mbumbumbu kuna hitaji pia nawe uwe mbumbumbu.

Ukishakuwa mbumbumbu huwezi hata kuelewa kuwa hoja ulizopewa ni nzito ama la.
 
Ni kwasababu kushawishi mbumbumbu kuna hitaji pia nawe uwe mbumbumbu.

Ukishakuwa mbumbumbu huwezi hata kuelewa kuwa hoja ulizopewa ni nzito ama la.
Tambua Jambo moja; sio kwamba watu tunashabikia dini zakuja tu hapana Wala sio kwamba hatutumii akili kung'amua Mambo, hasha! Tumezaliwa tukipelekwa kanisani lakini Kuna pointi inafika Ni lazima kuchunguza Mambo kwaundani wake ili kujua kweli. Ilinibidi kusoma imani zote ili kujua uhalisia wa mambo. Nikapeleleza dunia yote kuona Kama Kuna neno jema ambalo litaakisi hamu yakujua chanzo Cha uhai. Maana haina ubishi kwamba kwamtazamo wayeyote mwenye akili lazima atakubali kwamba kulingana na dunia ilivyo Ni lazima yupo au alikuwepo mwenye akili kufanya mambo kutokea Kama hivi tuonavyo leo. Zipo theory nyingi sana lkn haiwezekani akili iliyoumba utashi wakung'amua haya isijidhihirishe, haiwezekani. Ni lazima itajidhihirisha tu. Sasa unapoona watu wanakomaa na yesu basi jua yupo dhahiri. Ni vile tu huwezi jua na hujataka kujua au tuseme hili limekupitia kushoto. Kingine Ni kwamba; katika ulimwengu huu tunasema lisemwalo lipo. Unapoona neno linatamkwa Kila Leo jua lipo. Ukisikia watu wanasema uchawi, uchawi jua upo kweli vinginevyo lingeshapotea neno Hilo. Walikuwepo wanefili now hawapo imebaki story tu. Unaposikia yesu, yesu Yu hai jua yupo hai kweli ndugu acha ubishiii.
 
Upuuzi mtupu,
Umeshikiwa akili na wajanja
 

. Makondoo yamejazwa ujinga kuwa hayaioni "mbinguni" bila kulamba miguu ya mazayuni.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Wewe jibu mada, wachana na ujinga wa kumjadili mleta mada.
 
Ni wapumbavu tu wanaoamini Israeli taifa la Mungu

Liliwahi kuwa taifa teule lakini wakapoteza hicho kibali baada ya Wayahudi kumkataa na kumuua Yesu
Tuoneshe ushahidi kua Saizi sio taifa teule??
uteule huwa unaisha???
Wanafunzi wa mudy bana kwaiyo saizi wateule ni waarabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wale waabudu sanamu ya jua na mwezi wale waabudu Mungu Ba-AL
Nyie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hao ndy wale wazungu waliojipenyeza huko Jerusalem.
Na sio pure Jews.
we unakipimo cha kujua wazungu walio jipenyeza israel

Na nyie watu weusi mnaojiita waarabu hiyo n nn?? ubazwazwa au ubwatalaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ