Mwanangu umeongea pointi cha kuongezea hawa watu tumewapa Bandari zote za Tanzania, Miradi wa bandari ya bagamoyo, Sehemu ya ardhi ya Serengeti, Wanyama wa Serengeti. Hivi vyote tumewapa wakati wao hawajawahi kujenga shule,hospitali wala chuo katika hili nchi. Na cha kuongezea toka tupate uhuru hawajawahi kuchangia bajeti ya serikali yetu.Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia
Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.
This led to:
They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.
Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.
They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Lakini MUNGU si muweza wa Yote Anaweza kukupa moyo mgumu umkatae au moyo mlain umkubali Tizama Nami nikaufanya moyo wa farao kuwa mgumu zaidi unataka kusema farao anazambi au ametumika kama chombo Cha mafundisho... HAKUTAKUWA NA MOTO WALA AZABU YEYOTE BAADA YA KUFA namana twaishi kwa neema5. Kwa kumkataa Yesu, Waisraeli walitufungulia sisi Mataifa mlango wa Wokovu
Ni jambo la kustaajabisha lakini ndivyo ilivyo: Waisraeli walipomkataa Yesu kama Masihi, Mungu aligeuza tukio hilo kuwa fursa ya wokovu kwa watu wa mataifa. Kwa kutokuamini kwao, injili ilielekezwa kwa Mataifa ili wote wanaotaka wamwamini Kristo wapate uzima wa milele.
Mtume Paulo aliandika wazi:
“Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu..”
(Warumi 11:11)
Mungu, kwa hekima yake kuu, alitumia kosa la Israeli kama njia ya kuifikia dunia nzima kwa injili ya neema. Hii haimaanishi kuwa Israeli wameachwa, bali kwamba kipindi cha neema kwa Mataifa kinatumiwa kuwatayarisha na wao wamrudie Yesu.
Kwa hiyo, Wakristo tuna sababu za kutosha za kuwafurahia Waisraeli. Tunapaswa kuwashukuru kwa sababu kupitia wao, wokovu ulitufikia na sisi. Tuendelee kuwapenda na kuwaombea, tukijua kuwa neema ile tuliyopewa itawarudia na wao, soon.
Ahsante kutujuza, je biblia imesema lolote kwamba kitatokea kitu gani mpaka waisraeli wakiri kuwepo Mungu?5. Kwa kumkataa Yesu, Waisraeli walitufungulia sisi Mataifa mlango wa Wokovu
Ni jambo la kustaajabisha lakini ndivyo ilivyo: Waisraeli walipomkataa Yesu kama Masihi, Mungu aligeuza tukio hilo kuwa fursa ya wokovu kwa watu wa mataifa. Kwa kutokuamini kwao, injili ilielekezwa kwa Mataifa ili wote wanaotaka wamwamini Kristo wapate uzima wa milele.
Mtume Paulo aliandika wazi:
“Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu..”
(Warumi 11:11)
Mungu, kwa hekima yake kuu, alitumia kosa la Israeli kama njia ya kuifikia dunia nzima kwa injili ya neema. Hii haimaanishi kuwa Israeli wameachwa, bali kwamba kipindi cha neema kwa Mataifa kinatumiwa kuwatayarisha na wao wamrudie Yesu.
Kwa hiyo, Wakristo tuna sababu za kutosha za kuwafurahia Waisraeli. Tunapaswa kuwashukuru kwa sababu kupitia wao, wokovu ulitufikia na sisi. Tuendelee kuwapenda na kuwaombea, tukijua kuwa neema ile tuliyopewa itawarudia na wao, soon.
Hapa umemaanisha hivyo au typing error kiongoziLakini MUNGU si muweza wa Yote Anaweza
Nimemaanisha hivyoHapa umemaanisha hivyo au typing error kiongozi
My friend MK254Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia
Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.
This led to:
They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.
Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.
They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Asante mangi tz kwa swali hiloAhsante kutujuza, je biblia imesema lolote kwamba kitatokea kitu gani mpaka waisraeli wakiri kuwepo Mungu?
Ndugu yangu@pet96Pastor chris-atuombee
Mwamposa-atuombee
Shaboca-atuombee
Geordavie-atuombee
Kimaro-atuombee
Hananja-atuombee
Kitima-atuombee
Kapola-atuombee
Masanja-atuombee
Ufalme wa Muumba aliyemtuma Yesu alikataliwa na Israel ulishahama mashariki ya kati kupitia aliyosema Yesu katikaKwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.
Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:
1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)
Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.
2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)
Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.
3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)
Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.
4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)
Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)
Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”
Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.
Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...