Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

Makafiri kwa ujinga hamjambo!
Israel hi hi ninayo ijua mimi inayoongoza kwa kumbagua mkristo,.......inafikia hatua akionekana mkristo anatemewa mate na kudhihakiwa.
Israel hi hi inayo ongoza kwa idadi kubwa ya mashoga Duniani,......ndio iwe nchi takatifu jamani?

Acheni ujinga, hizo imani za kipuuzi ndio zimetufikisha hapa waafrica.
Yani unachonga sanam wewe mwenyewe kisha unaliabudia kama bikra maria.
Ukombozi wa kifikra unahitajika jamani sio poa.
We waarabu hawakubagui huko Oman,Sudan....?utumwa ni upofu
 
Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Muslims are happy over all the world.
 
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?

Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.

Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:

1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)

Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.

2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)

Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.

3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)

Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.

4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)

Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)

Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”

Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.

Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
Tumia akili waliomuua Yesu,wameshafariki,na waliomkataa Yesu wameshafariki,miaka 2000,iliyopita,akija Yesu,na wao wako michangani,makaburini,watamkubali vipi?Mbona Yuda,aliyemsaliti Yesu,bado mwamuita msaliti,na akafa kifo kibaya,na yeye ndiye aliyepanga mpango wa kukamatwa na kuuliwa Yesu?Huyu Yuda,si ndio angekuwa ni bora kwenu,kuliko yoyote,kwa kitendo cha kumsaliti Yesu.Kwa sababu kitendo cha kumsaliti Yesu,ndio kikichofanikisha akataliwe na Wana wa Israel.Akili ni mali,kweli.
 
NAONA MAZAYUNI YALIWEKA MAMBO YAO KWENYE BIBLIA,MUNGU WETU SISI SIO MBAGUZI NAVYOOJUA KILA JAMII INA MUNGU WAKE TULIFANYA MAKOSA SANA KUWA KATAA MUNGU WETU,india MUNGU WAO AMEWAFANYA KUWA JUU ,CHINA,KOREA,JAPAN...ZAMANI KAMA MVUA HAINYESHI UKIPELEKA MTAMA KWENYE MTI FULANI MVUA INANYESHA,LAKINI SASA HATA UMARIZE MWAKA UMEFUNGA MVUA HAINYESHI NG'O
 
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?

Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.

Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:

1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)

Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.

2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)

Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.

3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)

Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.

4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)

Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)

Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”

Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.

Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
Waliomkataa Yesu,na wakamsulubu na kumuua kwa mateso makali,ni waisrael wa miaka 2000 iliyopita,hawa waliopo,wanafuata yale yale,yaliyoandikwa na mababu zao,kuhusu Yesu.Sasa fikiria ,hata Yesu,aje leo,wale waliokufa miaka 2000,iliyopita,na wako udongoni,makaburini mwao,akiwemo Yuda(aliyemsaliti Yesu kwa vipande vya fedha),watamkubali Yesu vipi?Tumia akili na maarifa.Kama wa kumuunga mkono ni Yuda,aliyemsaliti Yesu,bado mnamuita msaliti,na hamufuati maagizo yake,kwa maana Yeye ndiye aliyefanya mpango Yesu asulubiwe,na nyinyi wakristo ndio mkamjua Yesu,sio waistael wote ni wa kuwaunga mkono.
 
Ajabu ni kwamba ndani ya Israel idadi ya waislam ni mara kumi ya wakristo.
Na hawa Waisraeli,wanazikana kama waislam,wanatumia Sanda,hawavalishi maiti Suti wala shela,na pia hawawachi maiti wazi kwa kuwaaga,na wanazika upesi,hawaweki maiti,maziko yao ,hayana tofauti sana na uislamu,na yako tofauti sana na ukristo.Hawatumii majeneza ya bei mbaya.
 
Ajabu ni kwamba ndani ya Israel idadi ya waislam ni mara kumi ya wakristo.
Ulisoma para hii mwanzoni mwa mada?
"...Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa..."
 
Mwanangu umeongea pointi cha kuongezea hawa watu tumewapa Bandari zote za Tanzania, Miradi wa bandari ya bagamoyo, Sehemu ya ardhi ya Serengeti, Wanyama wa Serengeti. Hivi vyote tumewapa wakati wao hawajawahi kujenga shule,hospitali wala chuo katika hili nchi. Na cha kuongezea toka tupate uhuru hawajawahi kuchangia bajeti ya serikali yetu.
Kwa mfano wako,Sasa kati ya wewe uliyetongozwa na kufirwa na aliyekufira nani mjinga?,ikiwa hajakubaka?
 
Kwa mfano wako,Sasa kati ya wewe uliyetongozwa na kufirwa na aliyekufira nani mjinga?,ikiwa hajakubaka?
Sijakuelewa ndugu maana wanaofanya hayo mambo ni wazanzibari na wameiga waaarabu ndugu yangu. Mimi ni mkristo. Ushahidi huu hapa tamaduni ya waarabu kuwalawiti vijana wadogo wa kiume waziwazi.

Naomba uniletee ushahidi wa wakristo wenye hizo tabia ulizozitaja wazi wazi nasubiri mkuu.
 
Kwa mfano wako,Sasa kati ya wewe uliyetongozwa na kufirwa na aliyekufira nani mjinga?,ikiwa hajakubaka?
Saudia Arabia mnapoenda kuhiji hawawakubali wapalestina wewe ambaye dini yako haijawahi kujenga hospitali shule wala chuo nchi nzima unaishabikia Palestina. Pole sana ndugu yangu Kenya wametuzidi vitu vingi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais anayetoka katika dini inayomuona mtu mweusi kama mtumwa.
 
View attachment 3388462
Mwarabu kakutungoza hajakubaka,ameenda na wewe chumbani amekufira,nani mjinga hapo na wa kulaumiwa?
 
Mwarabu kakutungoza hajakubaka,ameenda na wewe chumbani amekufira,nani mjinga hapo na wa kulaumiwa?
Mimi sio mwarabu wala muislamu siwezi kupoteza muda wangu kwenye dini isiyo na tija na mwafrika. Mwarabu anamwona mpakistani na mbangladesh kama nyani wewe je atakuchukuliaje ? Waislamu wanakimbilia ulaya na Marekani kwa sababu wanajua uarabuni wao ni manyani na sio binadamu. Ukisafiri na ukatembea dunia utakuja kugundua.
 
Sijakuelewa ndugu maana wanaofanya hayo mambo ni wazanzibari na wameiga waaarabu ndugu yangu. Mimi ni mkristo. Ushahidi huu hapa tamaduni ya waarabu kuwalawiti vijana wadogo wa kiume waziwazi.
View attachment 3388455
Naomba uniletee ushahidi wa wakristo wenye hizo tabia ulizozitaja wazi wazi nasubiri mkuu.
South Africa 90% christians,na inaongoza kwa mashoga wengi na inaruhusu ushoga,......U.S most gays are catholics Most gays are catholics in U.S
Nchi zote zinazoruhusu Ushoga Africa zinazoongoza kwa wakristo wengi population Christians countries by gays
Nakuuliza tena mwarabu alikuja akamkamata babu yako akamfanya mtumwa,hapo kosa ni babu yako kutopigana,mbona wajapan hawajawahi kua watumwa,............serikali yako ya CCM imeenda uarabuni,mwarabu kaja kaingia mkataba wa kinyonyaji,hapo unamlaumu mwarabu?
 
Kati ya Afghanistan na Taifa Teule la mungu Israel wapi kuna mashoga wengi?,😀😄😁😆
Sijakuelewa ndugu maana wanaofanya hayo mambo ni wazanzibari na wameiga waaarabu ndugu yangu. Mimi ni mkristo. Ushahidi huu hapa tamaduni ya waarabu kuwalawiti vijana wadogo wa kiume waziwazi.
View attachment 3388455
Naomba uniletee ushahidi wa wakristo wenye hizo tabia ulizozitaja wazi wazi nasubiri m
 
Kati ya Afghanistan na Taifa Teule la mungu Israel wapi kuna mashoga wengi?,😀😄😁😆
Video hii hapa ni sawa na kuuliza kati ya visiwani na bara wapi kuna mashoga wengi ? Naomba pia ujiulize dini za visiwani na bara ? Ushahidi wa ushoga ulianzia wapi nimekuletea kwenye hii video.
 
South Africa 90% christians,na inaongoza kwa mashoga wengi na inaruhusu ushoga,......U.S most gays are catholics Most gays are catholics in U.S
Nchi zote zinazoruhusu Ushoga Africa zinazoongoza kwa wakristo wengi population Christians countries by gays
Nakuuliza tena mwarabu alikuja akamkamata babu yako akamfanya mtumwa,hapo kosa ni babu yako kutopigana,mbona wajapan hawajawahi kua watumwa,............serikali yako ya CCM imeenda uarabuni,mwarabu kaja kaingia mkataba wa kinyonyaji,hapo unamlaumu mwarabu?
Mwarabu mmmoja angalia makampuni yanayowalipa na kuwaheshimu wafanyakazi ni wawekezaji niwazungu tu. Kuanzia Twiga cement mpaka Vodacom. Tuweke dini pembeni hakuna mtu anayeheshimu utu na ubinadamu kama mzungu. Wewe mwenyewe ukipewa nafasi ya kazi kati ya mhindi, mchina, mwarabu, na Mzungu utaenda kwa mzungu. Ishu siyo serikali ishu ni Rais huko juu nilisema Kenya wako mbali kwa sababu hawajawahi na hawatawahi kuwa na Rais mvaa makobazi. Wavaa makobazi madrasa zimewaharibu akili mtu anagawa bandari zote tanzania, ardhi ya serengeti, wanyama wa serengeti na mradi wa bandari ya bagamoyo. Watu waliopewa hawajawahi hata kujenga shule ya msingi ya viwango nchi nzima hawajawahi.
 
Back
Top Bottom