mswaki mbuyu swali linalokutatiza ni lipi? UlizaSafi sanaa mtumishi nina swali kidogo linanitatiza..?
Kwhy sasa wana Israel haya yote wanayofanya ni wanapotoka ili waje wamkiri Yesu baadaye kwa mujibu biblia?mswaki mbuyu swali linalokutatiza ni lipi? Uliza
Sijui kama nimelielewa vizuri swali lako, ndugu yangu mswaki mbuyuKwhy sasa wana Israel haya yote wanayofanya ni wanapotoka ili waje wamkiri Yesu baadaye kwa mujibu biblia?
Ooh kumbe mbeleni huko taifa la Israel litapatwa na jangaa la njaa ndo watamkiri Yesu?Sijui kama nimelielewa vizuri swali lako, ndugu yangu mswaki mbuyu
Biblia haisemi kuwa Waisraeli haya yote wanayofanya, wanapotoka ili baadaye waje wamkiri Yesu. Badala yake, inasema kwamba 'kwa sehemu ugumu umewapata Israeli' (Warumi 11:25)—yaani hawamtambui Yesu kuwa ni Masihi. Hali hiyo ya upofu wa kiroho haimaanishi kwamba Mungu ndiye anawafanya wapotoke ili waje wamkiri Yesu baadaye. La hasha. Makosa yao, kama ya watu wa taifa lolote, yanatokana na hiari yao wenyewe. Hata hivyo, mpango wa Mungu ni kwamba baada ya kipindi fulani, hasa hasa baada ya dhiki kuu, Waisraeli watamkiri Yesu kwa toba ya kweli. (Zekaria 12:10; Warumi 11:26).
Hayo mafundisho wenzetu mnayatoa wapi, harafu unajulimlisha Wakristo wote, kana kwamba sisi sote ni bahokoli . Katika liturujia yetu sijaona maelekezo ya kuombea taifa fulani ndipo tupate waokovu au baraka.Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.
Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:
1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)
Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.
2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)
Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.
3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)
Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.
4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)
Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)
Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”
Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.
Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
Huyu @satfree sijui hata maandiko yake anayatoa wapi?Hayo mafundisho wenzetu mnayatoa wapi, harafu unajulimlisha Wakristo wote, kana kwamba sisi sote ni bahokoli . Katika liturujia yetu sijaona maelekezo ya kuombea taifa fulani ndipo tupate waokovu au baraka.
Hayo unayoyaelekeza hapa tukianza kufafanua hatu uhuru tusingedai Kwa maana imeamuliwa umtii bwana wako ambaye ni mkoloni. Na wazungu wamekua kwa miaka maelfu wanatumiksha watu weusi Kwa kutafsri mistari na vifungu katika biblia kama wanavyofanya bahokoli/walokole . Inawezekana tafsri yako ilikuwa na maana katika wakati huo agano la kale , ujio wa Yesu kristo ulibadilisha mambo mengi ndo maana Leo kuna Ukristo duniani badala ya kuwa dini ya kabila fulani. Ruksa kukosoana kushauliana. Kama Kuna waroma hapa wanipe mwongozo liturujia yetu I'll hiyo Sala au maelekezo.
Huwajui Mayahudi wewe ni watu wasioutaka ukristo kabisa na ni kosa la jinai kujaribu kumbadili Myahudi kuwa Mkristo huko Israel.Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.
Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:
1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)
Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.
2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)
Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.
3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)
Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.
4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)
Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)
Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”
Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.
Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
Mafundisho mbona yapo kwenye bibilia na mtoa mada ameweka maandiko ya biblia kusindikiza hoja zake. Au nyie wakatoroka huwa hamsomi biblia mmeishia kukariri sala ya salam maria tu?!Hayo mafundisho wenzetu mnayatoa wapi, harafu unajulimlisha Wakristo wote, kana kwamba sisi sote ni bahokoli . Katika liturujia yetu sijaona maelekezo ya kuombea taifa fulani ndipo tupate waokovu au baraka.
Hayo unayoyaelekeza hapa tukianza kufafanua hatu uhuru tusingedai Kwa maana imeamuliwa umtii bwana wako ambaye ni mkoloni. Na wazungu wamekua kwa miaka maelfu wanatumiksha watu weusi Kwa kutafsri mistari na vifungu katika biblia kama wanavyofanya bahokoli/walokole . Inawezekana tafsri yako ilikuwa na maana katika wakati huo agano la kale , ujio wa Yesu kristo ulibadilisha mambo mengi ndo maana Leo kuna Ukristo duniani badala ya kuwa dini ya kabila fulani. Ruksa kukosoana kushauliana. Kama Kuna waroma hapa wanipe mwongozo liturujia yetu I'll hiyo Sala au maelekezo.
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri baadaye—kwa toba ya kweli na ya kitaifa.
Hebu tuangalie japo kwa kifupi, sababu muhimu zinazowafanya Wakristo kuwashabikia Waisraeli:
1. Waisraeli ni Wateule wa Mungu kwa Agano la Kale
“Mungu hajawakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.” (Warumi 11:2)
Waisraeli waliitwa tangu zamani za kale kupitia Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Hadi sasa Mungu hajabadili agano lake kwao. Ahadi za Mungu kwao bado hazijafutwa. “Kwa maana karama za Mungu na mwito wake havina majuto.” (Warumi 11:29). Ahadi za Mungu kwa Israeli bado zinasimama, hata kama kwa sasa hawaiamini injili.
2. Tumeagizwa kuwabariki Waisraeli
“Nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani.” (Mwanzo 12:3)
Kuwatakia baraka Israeli ni sehemu ya kutii mpango wa Mungu. Anayeilaani Israeli analaaniwa.
3. Waisraeli watamkiri Yesu - soon
“Nao watamtazama yeye waliyemchoma, nao watamwombolezea...” (Zekaria 12:10)
Mambo yanayofanyika sasa Mashariki ya Kati ni ishara ya wazi kuwa unabii huo unakaribia kutimia. Siku yaja, kutakuwepo na toba ya kweli ya kitaifa kutoka kwa Waisraeli. Watamkiri Yesu kuwa ni Masihi wao.
4. Watajiunga na Wakristo katika Wokovu
“Na hivyo Israeli wote wataokolewa.” (Warumi 11:26)
Yesu aliwaambia Wayahudi:
“Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa hadi mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.” (Mathayo 23:39)
Yesu aliposema “Hamtaniona tena...” alimaanisha hatakuwepo kwa muda, hadi Israeli kwa ujumla wao watakapomkiri kwa imani ya kweli. Hii itatimia siku za mwisho, watakapomkaribisha Yesu kwa toba na kusema kwa dhati: “Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana.”
Siku hiyo ikifika, Waisraeli wataungana na Kanisa lote duniani na kuwa ndugu wa kiroho.
Soma sababu ya 5 katika post inayofuata...
We nawe hunaga mada za maana.Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?

Achana na fikra tegemeziMwanangu umeongea pointi cha kuongezea hawa watu tumewapa Bandari zote za Tanzania, Miradi wa bandari ya bagamoyo, Sehemu ya ardhi ya Serengeti, Wanyama wa Serengeti. Hivi vyote tumewapa wakati wao hawajawahi kujenga shule,hospitali wala chuo katika hili nchi. Na cha kuongezea toka tupate uhuru hawajawahi kuchangia bajeti ya serikali yetu.
Tangu lini ukawa upande wa waislamu, na mwisho wenu ni mbaya sana enyi mnaowasapoti wanywa damu za watoto, wamama na wazee.Mimi huwa nipo upande wowote unaopambana dhidi ya haya magaidi, juzi niloshabikia India dhidi ya Pakistan
Hawa hutaka kupigana na dunia
Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.
This led to:
They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.
Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.
They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Siyo tegemezi kama unataki mimi nijiunge na dini yako nithamini kama binadamu lakini kama unaniona mtumwa au nyani kwa nini niswali swala tano na nihangaike na kupiga rakaa usiku mzima ?Achana na fikra tegemezi
wazungu wamejua kutunga mambo/maneno kumdanganya mtu black aisee!!!Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?