Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

S

wakati wa Mwinyi vilishakufa viwanda, na kuua muliiba na kuuwa haya mashirika ,na viwanda,ndio Mwalimu akang'atuka.Viliuzwa baada ya kuwa vimeshafilisika,na havifanyikazi,kumegeuka mapori na machaka,na mashine zimekufa kabisa,na kuuzwa vyuma chakavu na wezi watanganyika.Raid mvaa makubaz kama Yesu,ndio alieleta maendeleo ya TV simu magari,viwanda nk leo watumia simu ,ni mvyaa makubaz,ndio aliyeruhusu bidhaa kuingia Tanzania.Wewe endelea kuvyaa kamba shingoni
Nimekwambia taja skendo za ufisadi kubwa katika hii nchi asilimia 90 ni wakati Rais alikuwa anakazana na rakaa na kupiga swala tano, kuongeza mke. Sio lazima Rais atoke sehemu fulani inabidi Rais awe mtu mwenye uwezo bila kuangalia dini. Ukisema dini kwa zamu ztunafeli, Kenya hawajawahi kuwa na mvaa makobazi. Hii ni kwa sababu mtu anasalije katika dini ambayo haijawahi kujenga shule, hospitali wala chuo hapa nchini ? Hata kama dini tumeletewa lakini mtu kama huyu hauwezi kumpa nchi.

Hivyo viwanda walivyoviuwa ndiyo waliouziwa kuanzia Abood, Rostam , Muzamir n.k Waliouziwa viwanda na kwenda kuuuza skrepa wengi ni wavaa makobazi na wahindi.
 
Israel haitakaa ijiunge na wakristo.
Munhu anaokoa kundi moja kwa wakati mmoja.
Kama ninwayahudi basi wayahudi tuu.
Kama ni wamataifa ni wamataifa tuu.
Binlia inasema walipigwa upofu wasimtanbue yesu ili neema itujie na sisi tuokolewe.
Lakini injili itapowarudia na kuiamini ,huku mataifa hakutakuwa na ukristo isipokuwaa vikundo vya wapigaji,na waabudu snamu.
Ndugu yangu goswe, nani amekuambia hayo?
 
Hakuna anayebaguliwa

Hao waliomuua Yesu washakufa,kwa wokovu wataupata vipi na kumkubali Yesu.
Lkn ndugu hebu fikiria kidogo Yesu alikua mungu kabla ya kujigeuza kuwa binadamu kwhy alishawaumba kabisaa watu ambao wengekuja kumuua ilhali na alijua wangekuja kumuua na wasingekubali uokovu iliwezekana vipi?
Isitoshe hapo hapo Yesu alimuumba mama'ke akamkadiria na uzuri then akawa binadamu hivo Yesu aliyajua maumbile ya mama'ke kabla na baada ya kuja duniani..imagine angesema haya kama angeulizwa?..ilhali Yesu alianza kuongea siku chache baada ya kuzaliwa
 
Eti kumbariki Israel ni sawa na kumbariki Benjamin Netanyahu, hizi theolojia sijui mnajifunzia wapi.

Yaani akina Yuda iskariote, Herode, Na Makuhani na uovu wao kwenu nyie hao wanahitaji baraka zenu kwa sababu tu ni Wayahudi. Sijawahi kuona Ujinga kama huu.
 
Back
Top Bottom