Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

Umesahahu Congo mkuu?
 
Kati ya middle east nzima na Israel wapi kuna mashoga wengi?😃😁😁Israel leading in gays at middle east
Enheee waarabu wana roho mbaya,nchi Gani hapa Africa in roho nzuri na mazingira mazuri ya kazi,kuliko Saudi Arabia/U.A.E?,mbona wa Africa wanajazana huko?😁😆
 
Video hii hapa ni sawa na kuuliza kati ya visiwani na bara wapi kuna mashoga wengi ? Naomba pia ujiulize dini za visiwani na bara ? Ushahidi wa ushoga ulianzia wapi nimekuletea kwenye hii video.
View attachment 3388484
Pale middle east nzima nchi ipi inaongoza kwa mashoga wengi😁😆ISRAEL IS LEADING GAYS COUNTRY IN MIDDLE EAST
Africa kuna nchi nyingi za kiislam,na zenye wakristo,na South Africa 90% kuna wakristo,enhe wapi kuna mashoga wengi?😁😆South Africa is a leading African county with many gays
 
Huko Middle East na Israel ni mbali mimi nimeshakuonyesha video ya vijana wa kiume wa Afghanistan. Naomba nikuuulize kati ya Visiwani na bara wapi kuna mashoga wengi ? Na je visiwani na bara wana dini gani ?
 
Sisi Wakristo tunampenda kila mtu! Kama maandiko yanavyosema,(Mathayo22:39-42) (Yohana 13:34)
 
Huko Middle East na Israel ni mbali mimi nimeshakuonyesha video ya vijana wa kiume wa Afghanistan. Naomba nikuuulize kati ya Visiwani na bara wapi kuna mashoga wengi ? Na je visiwani na bara wana dini gani ?
Unajua ya kua UPUMBAVU ni kipaji hata kama akaunti ya mtu ipo verified anaweza kua MPUMBAVU?
Kua Afghanistan sio middle east😆,Here the countries of middle eastern countries
Mi nakuweka data middle east nzima Israel ndio inaongoza kwa mashoga wengi,pale middle east,ISRAEL is a leading gay country in middle east
Na wewe weka data/"referencing link" kuonesha ya kua wewe sio MPUMBAVU,........kua Zanzibar kuna mashoga wengi zaidi ya Tanzania bara?
 
Sijasema kuwa AFghanistani sio Middle East nipinge kwa hoja ndugu yangu unavyozidi kutukana ndiyo najua ujumbe unafika vizuri. Mimi sina haja ya kuweka data link mimi nakuuliza kati ya bara na visiwani wapi kuna ushoga ? Huko uarabuni kote watoto wadogo wa kiume wanalawitiwa. Haujatembea tembea uone.
 
Umesema waislamu wanaongoza kwa ushoga,nimekuwekea data middle east nchi ipi inaongoza kwa ushoga hii hapa ISRAEL is a leading gays country in middle east
Umesema Zanzibar inangoza kwa ushoga nimekwambia weka referencing data,unasema nakutukana😁😆😅
MPUMBAVU ni mtu anayebisha,akapewa ushahidi wa vielelezo Facts/figure/references bado akaendelea kubisha.
Una uhakika wewe sio MPUMBAVU?😆😆
 
Hapana toka hapo ulipo mtafute mtu yeyote muulize kati ya bara na visiwani wapi kuna mashoga wengi ? Ukishamaliza jiulize dini zilizokomaa huko ?
 
Hapana toka hapo ulipo mtafute mtu yeyote muulize kati ya bara na visiwani wapi kuna mashoga wengi ? Ukishamaliza jiulize dini zilizokomaa huko ?
Weka TAKWIMU,Israel ambayo 70% ya population ni jews inaongoza kwa idadi kubwa ya mashoga pale middle east na Takwimu hizi hapa Israel is leading Gays country in middle east
South Africa inaongoza kwa mashoga bara la Africa na 90% ni wakristo na Takwimu hizi hapa South Africa is a leading and friendly gays country in south Africa
Weka TAKWIMU,kudhihilisha wewe sio MPUMBAVU,zikionesha Zanzibar ina mashoga wengi kuliko Tanzania bara.
NOTE:MPUMBAVU ni mtu aliyepewa references/facts/figure,lakini bado akaendelea kubisha.
Je una uhakika wewe sio MPUMBAVU?😆😁😀
 
Ndugu yangu ushoga upo kwenye uislamu kuliko ukristo kuanzia uarabuni n.k. Nenda zanzibar huko kuna hadi askari alikuwa shoga huko.Nimekupa kazi ya kwenda kuangalia kati ya bara na visiwani wapi kuna mashoga wengi ? Its an open secret kila mtu East Africa anajua Zanzibar kuna dini gani ? Mombasa kuna dini gani ?
 
Wizi wenu,ndio uliosababisha kupewa wageni,Mwalimu Nyerere allwakabidhi viwanda,mashirika ya Uma,makampuni ya uma,mashamba makubwa ya mazao ya biasha,majumba ya ghorofa National housing(msajili wa majumba)mabenk nk,vyote mu
liviua kwa wizi,kabla hata hajang"atuka,mwalimu m
limfilisi,wezi wakubwa nyie.Kama sio wewe ni waliopita wzee watanganyika .Kulikuwa na kampumi ya Meli ikiitwa Nasaco,pia mliuwa kwa wizi.
 
😅 😅 😅 😅 Hivyoo vyote vilifanyika wakati wa Mwinyi yeye ndiye aliyemuuzia Bakhresa NMC leo ni Azam. Ukiangalia Marais wavaa makobazi ndio waliouza nchi. Kuanzia Mwinyi, Kikwete na sasa Mama. Nimetoa mfano wa Kenya wao wapo juu wana GDP per capita mara mbili ya yetu. Jiulize je walishawahi kuwa na Rais mvaa makobazi ?
 
Huko Middle East na Israel ni mbali mimi nimeshakuonyesha video ya vijana wa kiume wa Afghanistan. Naomba nikuuulize kati ya Visiwani na bara wapi kuna mashoga wengi ? Na je visiwani na bara wana dini gani ?
Afghanistan sio waarabu ni wahindi.Sio nchi ya kiarabu,hapo Afghanistan wapo mpaka mabaniani nq wasiokuwa na dini.
 
S
wakati wa Mwinyi vilishakufa viwanda, na kuua muliiba na kuuwa haya mashirika ,na viwanda,ndio Mwalimu akang'atuka.Viliuzwa baada ya kuwa vimeshafilisika,na havifanyikazi,kumegeuka mapori na machaka,na mashine zimekufa kabisa,na kuuzwa vyuma chakavu na wezi watanganyika.Raid mvaa makubaz kama Yesu,ndio alieleta maendeleo ya TV simu magari,viwanda nk leo watumia simu ,ni mvyaa makubaz,ndio aliyeruhusu bidhaa kuingia Tanzania.Wewe endelea kuvyaa kamba shingoni
 
Israel haitakaa ijiunge na wakristo.
Munhu anaokoa kundi moja kwa wakati mmoja.
Kama ninwayahudi basi wayahudi tuu.
Kama ni wamataifa ni wamataifa tuu.
Binlia inasema walipigwa upofu wasimtanbue yesu ili neema itujie na sisi tuokolewe.
Lakini injili itapowarudia na kuiamini ,huku mataifa hakutakuwa na ukristo isipokuwaa vikundo vya wapigaji,na waabudu snamu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…