S
wakati wa Mwinyi vilishakufa viwanda, na kuua muliiba na kuuwa haya mashirika ,na viwanda,ndio Mwalimu akang'atuka.Viliuzwa baada ya kuwa vimeshafilisika,na havifanyikazi,kumegeuka mapori na machaka,na mashine zimekufa kabisa,na kuuzwa vyuma chakavu na wezi watanganyika.Raid mvaa makubaz kama Yesu,ndio alieleta maendeleo ya TV simu magari,viwanda nk leo watumia simu ,ni mvyaa makubaz,ndio aliyeruhusu bidhaa kuingia Tanzania.Wewe endelea kuvyaa kamba shingoni