Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

Haujatembea bado. Kuna kabila linaishi ndani ya serengeti. Hili liko ndani baada ya gate ukitokea Nyamuswa na Nata kupitia gate hilo. Nasikia walitakuwa wahamishwe na Rais wetu wa kwanza wakasema mungu wao hawawezi kumhamisha KWA VILE HAVUKI MTO. Na wanaendelea kuishi. Nikiikumbuka jina la kabila nitalitoa.
 
Kabila gani.hilo? Maana kwa muda niliokuwa nafanya kazi pale. Na kuizunguka hifadhi yote sijawah sikia kabila linaishi ndani ya hifadhi. Au kijiji ndani ya hifadhi
 
Kama umeishi ukipita Isenye unalipita hilo gate ndio unaingia mbugani ukienda kwa kitambo kidogo unavuka mto nadhani ndio gruneti inayotokea karibu na gate ya lamadi na bunda.UTAONA HICHO KIJIJI.KINA WAKAaZI SIO WENGI KWENYE MiakA ya 90 MWANXONI BADO WALIKUWEPO
 
Back
Top Bottom