Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbili kakaHivi kanda maalumu nchini hapa ziko ngapi vile?
ThanksReply has received🔻
Kabila gani.hilo? Maana kwa muda niliokuwa nafanya kazi pale. Na kuizunguka hifadhi yote sijawah sikia kabila linaishi ndani ya hifadhi. Au kijiji ndani ya hifadhiHaujatembea bado. Kuna kabila linaishi ndani ya serengeti. Hili liko ndani baada ya gate ukitokea Nyamuswa na Nata kupitia gate hilo. Nasikia walitakuwa wahamishwe na Rais wetu wa kwanza wakasema mungu wao hawawezi kumhamisha KWA VILE HAVUKI MTO. Na wanaendelea kuishi. Nikiikumbuka jina la kabila nitalitoa.