Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.

Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
 
Vipi na kuhusu wale ndugu zako wa kijijini wanaopewa tshirts, kofia, vitenge, chumvi, pilau, nk. Wanajitambua?

Polisi wetu kila siku wanatumiwa na hao ccm kupiga raia wanaotaka kuandamana kudai haki zao! Je, na wenyewe wana mishahara mikubwa?
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.z

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
ukiambiwa uthibitishe ni kivipi JWTZ wanadharaulika utaweza kutoa.
Mwisho uminywe mbupu hadi zilie Pufuu
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Walimu ni kama nyumbu
 
Dogo, mtu mwenye uwezo wa kumuweka mtu au chama madarakani HAJAWAHI kudharauliwa na mwenye akili. Wajinga na mbumbumbu kama ninyi hamuwezi kukaa madarakani kwasababu mnawadharau walio na uwezo wa kuwaweka madarakani. CCM inaijua nguvu ya Walimu, Polisi na JW ndio maana wapo madarakani na watasalia madarakani!
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Miaka ya nyuma hiyo kada ilikuwa ni zao la division four, unategemea nini yaaani
 
Walimu wengi (90%} ni wanawake. Wengi wameolewa wengi ni michepuko wengi wauza sukari, kwa hiyo pesa kwao siyo shida.
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Janja ushashiba mamungunya machanga unaandika ujinga sio?
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Unaweza kuwaajiri ilo wakuimbe wewe ?
 
Anhaa mmepata milioni1 mmeanza kugoogle madhara ya kula ugali.

Kiufupi maisha hayalingani kwa wote, wao huenda 1M inawatosha sana na inabaki.

Malalamiko kwa niaba yao hayasaidii kitu, kwasababu wao wenyewe wanaunga mkono wanayofanyiwa.
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
wamesharidhika na shida zao mkuu
 
Yaani wanapata sitingi alawansi ya siku moja ya kibajaji
 
Back
Top Bottom