Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.

Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
Mwalimu ndiyo chanzo cha maarifa nani wa kumdharau labda we mwanaharamu uliyelaaniwa
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.

Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
Wamelogwa na mwenge
 
Kazi ya ualimu ina laana ya kiuchumi
 
Nenda katika ghorofa Moja la kati kaliakoo DSM,au Makoroboi mwanza waangalie kwa umakini watanzania wanavyopita,alafu nenda wall street new york au Toronto,utajua ni jinsia gani watanzania tunatia huruma,hakuna kitu ni vijora na Jerseys za sundland,hivi mnawaza nini?
Hatari sn
 
Wakati tunaambiwa waalimu hawajitambui, hatujawahi kuambiwa kada inayojitambua ni ipi, ili zilinganishwe, Kama jeshi linaimba pambio za kusifu chama, hiyo kada ya wababe ni ipi, au chuki tu
 
Back
Top Bottom