Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Kwa akili hizi mkiambiwa ccm itatawala miaka 30000 ijayo mnakasirika lakini huo ndo ukweli. Wapumbavu watakuchekea kweli hapa na watakuja mbio mbio kukuunga mkono katika kuwatusi hao mlioamua kuwatusi. Lakini nakuapia, kwa mwenye akili, hizi hoja zenu za kuwatukana walimu zinawaharibia zaidi kuliko kuwajenga.......hamjijui na hamjui tu.Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu ccm