Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Umoja gani unauongeleaaa mkuu???Changamoto ya walimu ni kukosa umoja
Hao kwa umoja wao si ndo walimchangia yule mtu fomu??
Tatizo la walimu ni uchawaa full stop..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja gani unauongeleaaa mkuu???Changamoto ya walimu ni kukosa umoja
Hapa JF tunatumia fake IDs kwa hiyo hakuna anayejua nani ni nani na anafanya nini. Cha muhimu tusidharauliane. Kuwadharau waalimu haiwezi kukusaidia lolote maishani.Na wewe je? Kwa nini usitoke kwenye hiyo cobweb inayokufukarisha
walimu wamekaa kama nyumbu fulani hizi amazingUmoja gani unauongeleaaa mkuu???
Hao kwa umoja wao si ndo walimchangia yule mtu fomu??
Tatizo la walimu ni uchawaa full stop..
Hatuwadharau tunataka watoke kwenye dimbwi hilo la maskini. Umaskinaia wao unasababishwa na wao wenyeweHapa JF tunatumia fake IDs kwa hiyo hakuna anayejua nani ni nani na anafanya nini. Cha muhimu tusidharauliane. Kuwadharau waalimu haiwezi kukusaidia lolote maishani.
Hizo nyumbu ndo zitakazowafurahisha kwenye sanduku la kura. Mmeyatukana makundi mengi sana na hapohapo mnataka wawapigie kurawalimu wamekaa kama nyumbu fulani hizi amazing
Hatuwatuka. Tunataka hayo mazombie yajitambueHizo nyumbu ndo zitakazowafurahisha kwenye sanduku la kura. Mmeyatukana makundi mengi sana na hapohapo mnataka wawapigie kura
Kama wataendelea kuwa wapumbavu kama nyie sawaHizo nyumbu ndo zitakazowafurahisha kwenye sanduku la kura. Mmeyatukana makundi mengi sana na hapohapo mnataka wawapigie kura
CCM mbele kwa mbele ni wimbo wa kuhamasisha wananchi kujitegemea na kufanya kazi kwa uaminifu na kwa bidii zaidi na sio kuongezewa mishahara,Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu ccm

Get ccm out for better future of your kidsCCM mbele kwa mbele ni wimbo wa kuhamasisha wananchi kujitegemea na kufanya kazi kwa uaminifu na kwa bidii zaidi na sio kuongezewa mishahara,
so,
acha upotoshaji na dhana potofu gentleman![]()
Chama kipya hakitoshi kuleta mabadiliko kama Dola inayoshikwa Ina mitazamo Ile ile!!Ndo mana ya "no reforms no election" ili ccm ipumuzishwe kiwekwe chama kipya chenye mawazo mapya. Mawazo ya ccm ni outdated.
Chama kinaweza kupiga chni dola hiyo na kuanzisha dola nyingineChama kipya hakitoshi kuleta mabadiliko kama Dola inayoshikwa Ina mitazamo Ile ile!!
Watu wanafikiri matatizo meengi ni ccm imeleta wanasahau kwamba chama hiki kimeanza mwaka 1977, wakati jamuhuri ilianza 1964 na bado matatizo yalikuwepo ya rushwa,kujuana etc japo hayakua Kwa kiwango kama hiki lakini Bado matatizo hayo hayo yapo kwenye vyama vyote nchini!!
vijana jihadharini na epukeni kutapeliwa na vibaka wa siasa TanzaniaGet ccm out for better future of your kids

Haiwezekani mpaka leo mwalimu mwenye degree analipwa laki na nusu na wengine wanajitolea. Huu ni utumwa unaoasisiwa na ccmvijana jihadharini na epukeni kutapeliwa na vibaka wa siasa Tanzania![]()
Upo kwa dada yako unasubiri amkatie mauno shemeji yako ili na wewe upate jero ya kubetia ,halafu hapa unajifanya unatumia 1mil kwa siku, utoto wako pelekea watoto wenzioHakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu ccm
ualimu ni wito na sio mshahara gentleman,Haiwezekani mpaka leo mwalimu mwenye degree analipwa laki na nusu na wengine wanajitolea. Huu ni utumwa unaoasisiwa na ccm

Wengine wameunda chama chao kinaitiwa NETO! Madai yao sasa eti hawajaariwa kuanzia 2015!Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu ccm
Katiba mpya, katiba mpya!Vipi na kuhusu wale ndugu zako wa kijijini wanaopewa tshirts, kofia, vitenge, chumvi, pilau, nk. Wanajitambua?
Polisi wetu kila siku wanatumiwa na hao ccm kupiga raia wanaotaka kuandamana kudai haki zao! Je, na wenyewe wana mishahara mikubwa?