Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Walim wetu walikua enzi zile wa sasa ni wapumbavu tu
 
Mkuu milioni moja unatumia ndaninya week?
Siku 3 tu million 1 imekata wewe unafikiri million 1 kubwa ni sawa na laki 1 tu, yaan million 1 sio kubwa km mtu wa matumizi kweli siku 2 nyingi imekata, wenyewe wanalipwa hio ila wanaishi na madeni kila mwezi madeni hayaishi sababu ni hela ndooogo
 
Kama wao hawajalalamika we tulia maana ninachoamini wao ni watu wazima wanajua kuchambua jema na baya sisi haituhusu
 
Walimu ni kama nyumbu
Hata wewe huenda ukawa nyumbu pia,kama unaona watu wamelala kwa nini usiwe mbele kuhamasisha? Unadhani vyama vya upinzani kushindwa uchaguzi kumetokana na hao uliowataja?
Mara ngapi maandamano yametangazwa mliwahi shiriki au hao ambazo sio walimu na mapolisi wameshiriki?
Usicoment tu kwa sababu unaweza kuandika chochote bali ujue wanaosoma ni watu maelfu wenye uelewa tofauti zaidi yako.
Kila Jambo lina wakati wake na ujue pia wakati ukifika watu wataamua sio hao uliowataja pekee
 
Usikute na wew ulikua umepanga foleni juzi kati unaomba ajira hizo hizo za Ualimu sasa umenyimwa ndo mapovu yanakuja kukutoka huku.. Mshahara huo kiduchu ndo unafanya watu wale.. wasomeshe wajenge nk. Usidharau riziki ya mtu dogo.. maisha hayajakufunza vizuri bado, tulia sasa zamu yako ikifika ndo utaongea na tutakusikiliza
 
Hata wewe huenda ukawa nyumbu pia,kama unaona watu wamelala kwa nini usiwe mbele kuhamasisha? Unadhani vyama vya upinzani kushindwa uchaguzi kumetokana na hao uliowataja?
Mara ngapi maandamano yametangazwa mliwahi shiriki au hao ambazo sio walimu na mapolisi wameshiriki?
Usicoment tu kwa sababu unaweza kuandika chochote bali ujue wanaosoma ni watu maelfu wenye uelewa tofauti zaidi yako.
Kila Jambo lina wakati wake na ujue pia wakati ukifika watu wataamua sio hao uliowataja pekee
Teacher pole, twende kwa hatua
 
JW inadharauliwa na nani?

Ushawahi kusikia wameandamana ama kulalamika?
1740305738470.jpg
 
Wengi tumetoka vijijini familia masikini so kupata kazi tu Ni wonderful haijalishi kamshahara hahaha
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambiaa kitu kabisa kuhusu ccm
Aliekuambia matatizo ya nchi hii yataisha Kwa ccm kuondoka madarakani ni Nani!!?

Matatizo yaliyopo yamelelewa na yapo kutokana na mifumo ya kidola iliyowekwa tangu zamani kwamfano ;-

1.mishahara mikubwa Kwa wanasiasa badala ya taaluma za uzalishaji,Hilo sio la ccm bali ujasusi wa kidola na kiuchumi vimefeli kufanya kazi yake hata wakiingia chadema watalipana maposho TU na mishahara mikubwa!

2.Mfumo wa elimu ya kikoloni iliyopo inamfanya mtz kuwa mtumwa wa kuajiriwa!Hilo sio ccm pekee ni Africa kote!

3.sera ya uchumi na utajiri nchini ya kuwafanya wahindi,waarabu kuwa watakatisha fedha za wanasiasa na kuwafanya matajiri hewa kumbe wanazungusha mitaji na makampuni ya wanasiasa yaani Wana majina feki mjini!!!Hilo sio la ccm ni ujasusi wa kidola na kiuchumi!!

4.Sera za fedha mabenki,kilimo,magereza sio wazalishaji wakuu,jkt sio wazalishaji wakuu was nchi!!matumizi ya ardhi kukopea badala ya kuzalisha Mali na kuziuza!!hiyo ni ujasusi wa kiuchumi ambao wamefeli na wanacheza beat za wanasiasa badala ya maono ya nchi!!

5.sheria lege lege na mbovu zinazobeba wanasiasa wezi nchini na wanapeta TU na Dola ipo ikitazama hizo ni sera za nchi na dola sio za CCM!hata chadema wakishika na o no binadamu watafanya hayo hayo hayo!!

Ndio maana CCM ilianzisha mchakato wa katiba wakauogopa kupoteza dola! Na leo chadema inatumiwa na ujasusi kusukuma agenda ya katiba baada ya Dola kufeli Kwa kutoleta katiba mapema!!

Ongezea!!
 
Mifumo mobovu= ccm
 
Mifumo mobovu= ccm
Hiyo ccm inalindwa na ujasusi wa kidola uliopo!!yaani Dola iliamua ccm ndio itawale Hadi leo!kwahiyo CCM ni takwa la dola siku Dola ikiamua ccm isishike Dola na kweli haitoshika na dalili zimeanza kuonekana coz Kuna makada wanakiuka matakwa ya dola yetu!!
 
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.

Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu ccm.

Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu ccm
Punguza dharau. Hakuna sheria ya Mungu wala ya nchi imevunjwa na waalimu kwa kuipenda CCM. Hiyo milioni unayotamba kuipata kwa wiki kuna watu wanaipata ndani ya lisaa. Kuwa mnyenyekevu kwenye haya maisha.
 
Hiyo ccm inalindwa na ujasusi wa kidola uliopo!!yaani Dola iliamua ccm ndio itawale Hadi leo!kwahiyo CCM ni takwa la dola siku Dola ikiamua ccm isishike Dola na kweli haitoshika na dalili zimeanza kuonekana coz Kuna makada wanakiuka matakwa ya dola yetu!!
Ndo mana ya "no reforms no election" ili ccm ipumuzishwe kiwekwe chama kipya chenye mawazo mapya. Mawazo ya ccm ni outdated.
 
Punguza dharau. Hakuna sheria ya Mungu wala ya nchi imevunjwa na waalimu kwa kuipenda CCM. Hiyo milioni unayotamba kuipata kwa wiki kuna watu wanaipata ndani ya lisaa. Kuwa mnyenyekevu kwenye haya maisha.
Na wewe je? Kwa nini usitoke kwenye hiyo cobweb inayokufukarisha
 
Back
Top Bottom