Aliekuambia matatizo ya nchi hii yataisha Kwa ccm kuondoka madarakani ni Nani!!?
Matatizo yaliyopo yamelelewa na yapo kutokana na mifumo ya kidola iliyowekwa tangu zamani kwamfano ;-
1.mishahara mikubwa Kwa wanasiasa badala ya taaluma za uzalishaji,Hilo sio la ccm bali ujasusi wa kidola na kiuchumi vimefeli kufanya kazi yake hata wakiingia chadema watalipana maposho TU na mishahara mikubwa!
2.Mfumo wa elimu ya kikoloni iliyopo inamfanya mtz kuwa mtumwa wa kuajiriwa!Hilo sio ccm pekee ni Africa kote!
3.sera ya uchumi na utajiri nchini ya kuwafanya wahindi,waarabu kuwa watakatisha fedha za wanasiasa na kuwafanya matajiri hewa kumbe wanazungusha mitaji na makampuni ya wanasiasa yaani Wana majina feki mjini!!!Hilo sio la ccm ni ujasusi wa kidola na kiuchumi!!
4.Sera za fedha mabenki,kilimo,magereza sio wazalishaji wakuu,jkt sio wazalishaji wakuu was nchi!!matumizi ya ardhi kukopea badala ya kuzalisha Mali na kuziuza!!hiyo ni ujasusi wa kiuchumi ambao wamefeli na wanacheza beat za wanasiasa badala ya maono ya nchi!!
5.sheria lege lege na mbovu zinazobeba wanasiasa wezi nchini na wanapeta TU na Dola ipo ikitazama hizo ni sera za nchi na dola sio za CCM!hata chadema wakishika na o no binadamu watafanya hayo hayo hayo!!
Ndio maana CCM ilianzisha mchakato wa katiba wakauogopa kupoteza dola! Na leo chadema inatumiwa na ujasusi kusukuma agenda ya katiba baada ya Dola kufeli Kwa kutoleta katiba mapema!!
Ongezea!!