nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Mwalimu ndiyo chanzo cha maarifa nani wa kumdharau labda we mwanaharamu uliyelaaniwaHakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
Wamelogwa na mwengeHakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
Kazi ya ualimu ina laana ya kiuchumiHakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM.
Wana mastress kibao lakini huwaambii kitu kabisa kuhusu CCM
I love you tooHuo mkubwa unaotupatia uko wapi mkuu.
Nakupenda Lucha😘
Hatari snNenda katika ghorofa Moja la kati kaliakoo DSM,au Makoroboi mwanza waangalie kwa umakini watanzania wanavyopita,alafu nenda wall street new york au Toronto,utajua ni jinsia gani watanzania tunatia huruma,hakuna kitu ni vijora na Jerseys za sundland,hivi mnawaza nini?
Umebadili saa ngapi jameni 🤣🤣🤣🤣🙌I love you too
Mwanzo uliandika hivyo😊Umebadili saa ngapi jameni 🤣🤣🤣🤣🙌
Nchi hii kila mtu amevurugwa kivyakeWakati tunaambiwa waalimu hawajitambui, hatujawahi kuambiwa kada inayojitambua ni ipi, ili zilinganishwe, Kama jeshi linaimba pambio za kusifu chama, hiyo kada ya wababe ni ipi, au chuki tu