Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Naombeni mnijuze wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo siti ya mbele hapa nasubiri maoni ya wataalamuNaombeni mnijuze wakuuView attachment 2547505
Baaadaaaye, tulikuja kuambiwa humo kulikuwa kunabewa vifaa vya FIRST AID, kutokana na UGONJWA aliokuwa nao. Sina shaka, ni kwa ajili ya kuchaji lile BETRI lake. Kutaka KUPOTEZEA, wengine walikuwa wanabeba MAHELA, yaliyokuwa yanagawiwa njiani!Rais alikuwa mgonjwa
Alovera bro bullet proof bags zibebwe mkononi? Kimantiki haiwezi kuwa bro maana sidhani kama mtu mwenye nia ya kumuua rais ata target begiHizo sio begi za fasion ni bullet proof bag, inakua special kukinga risasi kwa dharura huku utaratibu wa kumuondoa kiongozi unafanyika kama kuna mashambulizi
Alovera bro bullet proof bags zibebwe mkononi? Kimantiki haiwezi kuwa bro maana sidhani kama mtu mwenye nia ya kumuua rais ata target begi
Ww unaonekana unafuatilia mambo in deep kuna kipindi mwamba mwenyewe aliongea sehemu ila kumuelewa ndio tatizoHizo sio begi za fasion ni bullet proof bag, inakua special kukinga risasi kwa dharura huku utaratibu wa kumuondoa kiongozi unafanyika kama kuna mashambulizi
Dogo janja kabla hujaonyesha ushamba wako have good time with google 1st then come with something hizi mambo za akili finyu acha unajiaibishaAlovera bro bullet proof bags zibebwe mkononi? Kimantiki haiwezi kuwa bro maana sidhani kama mtu mwenye nia ya kumuua rais ata target begi
Jf ni shule tosha.Zinakua na kufanya kazi kama hizo hapo chini
View attachment 2547838
Mshamba haambiwi huu msemo nilisikia kijana akisema kwa mwenzake.Uwe unajifunza uelewe ulinzi wa watu maalumu na mashuhuri hua ukoje, mbona nimeelezea kama kuna mashambulizi kazi ya hilo mnaloita begi ni ipi
We mshamba kweli! Hivyo vibegi si mapambo wala vibebeo ni bullet proof kwa ajili ya ulinzi.Samia Hana Hela za kugawa bure
Yaani brother kuna watu wajinga halafu badala ya kusubiria wajuvi wanavamia kulisha watu matangopori.Dogo janja kabla hujaonyesha ushamba wako have good time with google 1st then come with something hizi mambo za akili finyu acha unajiaibisha