Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

Yaani brother kuna watu wajinga halafu badala ya kusubiria wajuvi wanavamia kulisha watu matangopori.

Ndiyo vijana wa hovyo tulio nao.
Tatizo wanataka waonekane wanajua nimeangalia dogo alivyocomment nikajiuliza kama jambo huna uhakika nalo kwann uje?
si upitie hata google kwanza ili hata ukija kutoa challenge basi inakua kwa manufaa ya kujua na sio kuonyesha ushamba. Mfano hilo begi jpm mwenyewe alishaliongelea japo kimitego ila kama unajua kuunga dot unamuelewa vizuri.

Imagine mtu anasema lile linabeba chaji ya moyo wake hivi kama iPod zinakaa na chaji mpka masaa nane na zaidi walishindwa kumuwekea betrii zitakazo sukuma kwa muda mrefu? Mbali na hapo kutembea na bag inamaana hiyo betrii inaisha chaji ndani ya masaa mangapi au walishindwa kuchaji akiwa kwenye gari au sehemu kapumzika. Mengine ni ushamba wetu na kutotaka kujua mambo.
 
Brother hizo sample ndiyo zinawakilisha kundi kubwa hapa Tanzania, kuna watu wachache sana ambao hukubali kuacha kutoa maoni juu ya mambo wasiyoyajua, wengi huongea pumba bila kutafakari.
 
Na Uzi ufungwe
Je na hizi?
7B5945D4-4D29-485A-90EC-14E46B72A69E.jpeg
31743DA9-DD6E-4630-AA58-8F8214888CF0.jpeg
 
Back
Top Bottom